Tumedhulumiwa jamani, CHAN 2018 yanyang'anywa Kenya!

Na jee Rwanda wako na uwanja gani yenye international level ?
please nielezewe
 
Mbona una matatizo ya kuelewa?, nimekuambia pesa ilishasainiwa tunasubiriwa sisi tukiwa tayari ziletwe, China Exim Bank and UAE exim bank, au unataka link?, Tanzania sio nchi ya kukurupuka kama Kenya
Wakenya inabidi waelewe DSM port due to location na space yake hamna uezekano wa expansion tena. A brand new port is inevitable.. more likely itakua Bagamoyo ndyo maana serikali haija futa huo mpango. So the biggest port in Africa itajengwa tu
 
so tunekubaliana mlikuwa hamna pesa kutoka kwa link yako uliyoileta na mlikurupuka ama bado ndio tuende kwa mafuta
Wewe ninadhani una matatizo ya kuelewa, Nimekuambia Magufuli alipoingia madarakani alikupa pesa za SGR, na bandari ya Bagamoyo zote zimeshatolewa na Exim Bank ya China, yeye akasimamisha zote mbili ili ajiridhishe katika hayo niliyokuambia, kuhusu SGR alipoona riba ni kubwa, akaamua kuachana na wachina akatafuta pesa za ndani ili mradi uanze huku anatafuta mkopo wa riba ndogo, ADB wamekubali kutoa mkopo kwa riba ndogo.

Huu wa Bagamoyo mpaka sasa hajaamua kama hizo pesa zilizotolewa na China na UAE achukue au ataamua pia kuziacha, ila zimeshasainiwa ni sisi tukiamua hata leo zinakuja, kwa sababu mradi huu hauna haraka sana ngoja tuanze na hizi bandari zingine kwanza, Tanzania tunajua sana kupanga vipaumbele vya nchi, sio kama Kenya, badala ya kuanza na Galana irrigation project, mnajenga Lamu port wakati ingeweza kusubiri ili kuokoa maisha ya watu wanao kufa kwa njaa
 
wacha masihara wewe...hii ni kama machakos au hata ule wa governor joho
Hiyo stadium ya Mbuzi ni ndogo sana ndiyo maana CAF waka upuuzia.. huo uwanja wa Chamanzi umepitishwa na CAF na uko very modern kwenye changing rooms na technology wise na capacity yake ni 15,000
 
my firend unatumia nguvu nyingi na maneno ya vijiweni...link yako uliyoileta imesema bado hamjapata funding sasa story zote za nini???hebu leta hiyo link hapa mliyopata full funding,na unipatie hiyo link inayosema magu aliahirisha mradi ili achunguze mambo ya rushwa tumalize ubishi...alafu galana ilianza kitambo trial mpaka mahindi yakavunwa.sijui unaishi shimoni au vipi.galana na lamu zinaendelea at the same time..update yourself
 
Hiyo stadium ya Mbuzi ni ndogo sana ndiyo maana CAF waka upuuzia.. huo uwanja wa Chamanzi umepitishwa na CAF na uko very modern kwenye changing rooms na technology wise na capacity yake ni 15,000
kama nyayo tu iliambiwa bado ina shida itakuwa hiyo chamanzi..ebu tukueni serious apa..
 
Kenyans you have to know something we're on way to host AFCON 17 @2019....

till now Dar only has
.National Stadium
.Uhuru Stadium
.Azam Complex
ambazo ziko qualified from CAF na FIFA.....
apart from them in Zanzibar
.Amaan Stadium

So its good time to us to make sure that hayajirudii ya kwenu
 

TANZANIA : Oman, the reason Bagamoyo Port construction is running late - Issue 1426 dated 06/05/2016 - The Indian Ocean Newsletter
 
atleast you are honest..mwenzako amesema chamanzi iko qualified pia..whats your take on that
 
Wewe uwezo wako wa kutafuta taarifa ni mdogo sana, Tanzania ndiyo inawasiwasi na hizi pesa walizotoa kwa ajili ya ujenzi wa Bagamoyo, kama tulivyozikataa za SGR, hata hizi kuna uwezekano mkubwa Magufuli akazikata,

Nilikosea kidogo, waliotoa pesa ni China na Oman, soma uweze kuelimika, Tanzania sio nchi ya mchenzi, wataarifu na wenzako, karibuni Tanzania mje mjifunze
 
Na jee Rwanda wako na uwanja gani yenye international level ?
please nielezewe
International level ni ipi according to you!! Ndiyo maana una bishana na ukweli.. Chamanzi Stadium, CCM kirumba Mwanza vyote vimepitishwa na CAF. Hii ni fact siyo uzushi go google! Cyo lazma kiwanja kiwe na vioo kma OT, na Artificial tsar kwenye kiwanja siyo sababu ya kukosa sifa. Ww unaonekana siyo mtu wa football. Hizo nyasi bandia zime anzia ulaya kwenye baridi.. FIFA waka amua kuzileta Africa under goal project coz zina mudu mazingira magumu na maintainance yake ni cheap. Angalia hyo CHAN ya Rwanda utaona viwanja watakavyo tumia, ndyo mtajua kwamba mpo hoi! na utajua meaning ya International Stadium [emoji1]
 
kama nyayo tu iliambiwa bado ina shida itakuwa hiyo chamanzi..ebu tukueni serious apa..
Wewe ndyo auko serious ku compare Nyayo na Chamanzi.. BTW Nyayo unahitaji marekibisho tu.. ndyo maana uwanja una eza ukawa una vigezo leo ila baada ya miaka 5 utavuliwa status yake. Ishu ni marekebisho
 
Wewe ndyo auko serious ku compare Nyayo na Chamanzi.. BTW Nyayo unahitaji marekibisho tu.. ndyo maana uwanja una eza ukawa una vigezo leo ila baada ya miaka 5 utavuliwa status yake. Ishu ni marekebisho
heheee...heri nikuache..ati chamanzi.sawa bana
 
heheee..jirekebishe mwenyewe tu..naona utajikanganya hadi mwisho na hizo links zako mwenyewe..yenye umeipatiana mpaka ulipie
 
View attachment 594800

How about CCM Kirumba in Mwanza?
Mkuu leta picha za viwanja vya Pemba na Unguja. Tanzania viwanja vingi ni vizuri kwenye majukwaa changamoto ni pitch tu. Uzuri pitch ina eza badilishwa ndani ya mwezi tu.. e.g viwanja vya Songea, Arusha, Dodoma, Mbeya huu pitch yake nzuri, Morogoro, Tabora ground lake ni kubwa kuliko CCM kirumba, Shinyanga nk
 
Sawa but tz ni moja pekee yenye standards za CAF...NATIONAL STADIUM PEKEE.
 
Ungeangalia zile uwanja za Gabon zenye zilihost last CHAN hungetaja iyo burnt KIRUMBA,sijui chamanzi
 
Hii hapa Amaan stadium Unguja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…