Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Wee kiazi kweli kwa hyo Ni huyu analalamika kwa kuwa gar lako halitembei au nauli zimepanda na mishara iko pale pale wee Ni kiazi vina saba
 
Back
Top Bottom