Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Mbona umeongea huku umejijitutumua hivyo mpaka unataka kutoa ushuzi shehe kisa wanzako wanamiliki magari,acha roho choyo na ubinafsi
Halafu nakushauri uwe japo una tafakari mambo kwa kina, kelele za mafuta sio lazima mtu apige kelele kwa kuwa ana gari, chukulia mfano usafiri wa umma huoni mafuta yakipanda na nauli zinapanda, pia wapo wanaotumia kilimo cha umwagiliaji anatumia pump kunyeshea mradi wake wa kilimo sasa bei ya mafuta ikipanda huoni ina muathiri moja kwa moja jifunze kuwa muungwana