Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Kuna genge linafidia hasara waliyopata kipindi cha Mwendazake
Inafikirisha, umeandika kama utani lakini kuna ukweli ndani yake !! Na ieleweke kwamba mzigo mkubwa wa bei ya bidhaa kupanda anayeubeba ni yule mtumiaji wa mwisho ambaye hana biashara yeyote ya kumuingizia faida ! Yeye ni mlaji tu !!
 
......Until that day when they will come to their senses and start not only being serious but also take the necessary counter steps, otherwise it's a business of complaints as usual.....
 
Inafikirisha, umeandika kama utani lakini kuna ukweli ndani yake !! Na ieleweke kwamba mzigo mkubwa wa bei ya bidhaa kupanda anayeubeba ni yule mtumiaji wa mwisho ambaye hana biashara yeyote ya kumuingizia faida ! Yeye ni mlaji tu !!
👍🙏
 
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Mkuu are you for real ?... Yan mtu akiongelea mafuta ni anaongelea gar ya kutembelea tu ?...This how far you could go ?..Your kidding right ?
 
Issue sio Vita, issue ni kuchukua hatua. Hauwezi ku-control nini kitokee Duniani, ila unaweza ku-minimize effect ya kilichotokea. Kenya na Rwanda wamechukua hatua kwenye vita hii hii ya Urusi na Ukraine, na Mafuta hayajapanda - na wameweza ku-control inflation. Elewa logic.....Hiyo ya JPM nimekupa fact ya vitu alivyokuwa anahakikisha ana-control.
Jiwe liliharibu nchi, Samia amekabidhiwa nchi wizara ya fedha haina hata mia
 
Si tu kaikuta wizara haina fedha, kakuta hesabu zinasoma - "negative", yaani na madeni juu. Ni kama Mzee Rukhsa alivyopokea nchi kutoka kwa Nyerere.

Nahisi Kikwete hayasemi tu lakini ni uhakika alikuta madudu ya ajabu alipowachiwa nchi. Ndiyo maana hawa Wakristo wakishika nchi inakuwa haina neema, ni wezi wa kutupwa.

Tutegemee nini kwa watu wanaojazwa ujinga ukawajaa kuwa eti Yesu kishabeba dhambi zao, kwa hiyo kwao kufanya dhambi siyo dhambi, si wamedanganywa Yesu kishazibeba!
 
Kupanda kwa vitu KUPO.
Tatizo Samia anashindwa kujieleza.
Ana onekana mama anachochea vile
 
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.

Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.

Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.

Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?

Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.

Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.

Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.

Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .

Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
na bado akili zitawarudia mkiambiwa ccm ni janga la taifa hamuelewi. Tuendelee kuisoma namba ccm mbele kwa mbele, mama anaupiga mwingi.
 
Kupanda kwa vitu KUPO.
Tatizo Samia anashindwa kujieleza.
Ana onekana mama anachochea vile
Mama kajisemea ukweli, inabidi alipe madeni aliyoachiwa na miradi kwa kuwa ni mikubwa sana kuliko uwezo inabidi iokolewe isife.

Sasa hebu fikiri kidogo, mtu anakopa kujenga reli anakwenda kujenga eyapoti kwao. Anakopa kujenga bwawa la kufulia umeme anakwenda kujenga daraja kubwa kwao kwa kuwa tu hawezi kupanda ndege mara kwa mara.

Hivi yote hayo hamuyaelewi kuwa ndiyo yanayoleta madhara leo hii? Mama kakuta hesabu za fedha hakuna kitu zaidi ya madeni.
 
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.

Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.

Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.

Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?

Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.

Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.

Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.

Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .

Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Mama nimegundua kuwa hashauriki, ukisema anashauriwa siamini.
 
Back
Top Bottom