Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta pesa wewe
Pole. Na kazi iendelee!!!Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.
Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.
Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?
Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.
Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.
Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.
Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .
Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Hayo magari yanayosafirisha bidhaa na abiria yanatumia maji, au unataka watu waanze kutembea kwa miguu kwenda makazini na kusafirisha bidhaa kwa kubeba kichwani, akili yako ndogo sana...Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Jambo gani zuri amefanya?. Sinema ya tour? SijaonaKwa nn kwenye jambo baya tunasema kashauriwa vibaya, Ila Jambo zuri tunasema anaupiga mwingi? Kwa nn pia tusiseme kashauriwa vizuri?
Tanzania tunaishi dunia ya peke yake. Inatakiwa kuwe na Viongozi wenye uwezo wa kutenda MIUJIZAHayo magari yanayosafirisha bidhaa na abiria yanatumia maji, au unataka watu waanze kutembea kwa miguu kwenda makazini na kusafirisha bidhaa kwa kubeba kichwani, akili yako ndogo sana...
Hii kitu inakuja kumuathiri mtu wa mwisho sio wkt mwingine uwe na gari...logically nauli za daladala zitapanda, nauli za mabasi zitapanda, kusafirisha mizigo kama chakula, mahindi, maharage nk gharama zitapanda, yule mfanya biashara pia akileta huo mzigo sokoni jumla atapandisha, mnunuzi wa genge nae atapandisha, mraji wa mwisho ndio anauumia!! Hivyo usitizmae ktk angle moja ya umiliki wa magari, saruji, nondo na vifaa vyote vinapanda nani wa kufidia mwenzake? Assume mzigo kwenda mbeya saruji mtu alikuwa anatumia lita 240..sasa atatumia lita 350...hilo ongezeko la lita 90...ndio linaleta balaaa kwa mraji wa mwisho.Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Twende kwa Mwamposa au MC PILIPILI afanye MIUJIZAHii kitu inakuja kumuathiri mtu wa mwisho sio wkt mwingine uwe na gari...logically nauli za daladala zitapanda, nauli za mabasi zinqpanda, kusafirisha mozigo kama chakula, mahindi, maharage nk gharama zitapanda, yule mfanya biashara pia akileta huo mzigo sokoni jumla atapandisha, mnunuzi wa genge nae atapandisha, mraji wa mwisho ndio anauumia!! Hivyo usitizmae ktk angle moja ya umiliki wa magari, saruji, nondo na vifaa vyote vinapanda nani wa kufidia mwenzake? Assume mzigo kwenda mbeya saruji mtu alikuwa anatumia lita 240..sasa atatumia lita 350...hilo onhezeko la lita 90...ndio linaleta balaaa kwa mrajinwa mwisho.
Kwahiyo huko kwenye mafuta tukachukue bure!!!Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.
Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.
Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?
Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.
Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.
Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.
Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .
Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Hata Congo, Zambia, South Africa, Kenya, Rwanda, Uganda napo kuna genge linafidia hasaraKuna genge linafidia hasara waliyopata kipindi cha Mwendazake
Tupeni bei ya Petroli Na diesel huko Zanzibar tuone.Huyu Tausi yeye mwenyewe hana uzalendo wala uchungu na rasilima za nchi za Tanzania bara, angekuwa na uzalendo unapewa ushauri mbovu ina maana hata wewe hutumii akili kuchanganua?
Aya mara ya kwanza umeshauriwa vibaya basi piga chini hao washauri wanao kushauri vibaya
Hayo ndio mafunzo uliyopewa na Mbowe?Kichwa chako ni sanduku la kuhifadhia meno tu.
Na hiyo ni Nairobi lakini Mombasa yapo chiniAcha uongo
Kenya nafuta Ni kshs 144, ambayo ni sawa na 2880
Diesel Ksh 125, ambayo Ni sawa na 2500
Zanzibar petroleum ni 2600 na point kidogo.Tupeni bei ya Petroli Na diesel huko Zanzibar tuone.
Msisahau na hapo wametoa ruzuku.Na hiyo ni Nairobi lakini Mombasa yapo chini
Rwanda na Zambia bei zipo chiniHata Congo,Zambia,South Africa,kenya,Rwanda,Uganda napo kuna genge linafidia hasara
We ukiona mtoto wa Mkwere anasema "NCHI IKO KWENYE MIKONO SALAMA" lazima ujiulize maswali kidogo...Kuna genge linafidia hasara waliyopata kipindi cha Mwendazake