Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Wote wanaotazamia mema kwa waomu ni watu mapungufu ya akili na wenye vichwa vyepesi visivyoweza hata kubeba historia fupi za watesi wao........

Kutazamia neema na baraka kutoka kwa serikali ya CCM ni sawa na kungoja wimbo mzuri kutoka kwa bubu......

Mtaji wa serikali ya CCM ni ujinga wa Watanzania wenye fikra na wenye bongo nyepesi zinazopepea mfano wa kitambaa chepesi kwenye upepo.....

Watanzania wanatakiwa kujua CCM ni kansa inayoliangamiza taifa hili kwa manufaa ya vizazi vyao.......alama kuu ya uponyaji kwenye taifa hili ni kuuondoa utawala CCM madaraka ni pamoja na kuwafunga watawala wote ili iwe fundisho kwa walafi wengine wenye Nia hiyo......

MUNGU IBARIKI TANZANIA......MUNGU WALAANI CCM NA VIZAZI VYAO....KAMA ULIVYO WALAANI WAOVU WENGINE CHINI YA MGONGO WA ARDHI DHIDI YA WAJA WAKO WASIOKUWA NA SAUTI.....
 
Mkuu ni vita ya Yukrein sio mwacheni mhe. Rahisi(Rais) [emoji16] by the way lile jambo lenu lipo usijali. Wanamalizia kukokotoa, nadhani wamezingatia pia athari za kupanda kwa bei ya mafuta leo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Leta ushahidi
Huo hapo
Screenshot_20220503-214944_1.jpg
 
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.

Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.

Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.

Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?

Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.

Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.

Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.

Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .

Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Mama kafail kabisa kabisa.
 
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Mafuta yakipanda Bei, usafirishaji wa bidha hasa chakula unapanda Bei pia. Hivo, mafuta yakipanda hayaathiri wenye magari Sana, Bali watu wa Hali ya chini kwani mfumko wa Bei kwa vyakuala na bidhaa nyingine haukwepeki.
 
Gari siyo hitaji la lazima. Kwahiyo, Kama hawezi kumudu gari basi.

Kelele mitandaoni Ni trash.

Kama vipi anzisheni chama Cha wamiliki wa magari ya kutembelea Kiwe kinawasemea.
Gari sio lazima kweli kwa MTU binafsi, lakini umeambiwa matumizi ya petrol&Diesel ni kwenye magari tu ya privatr,vipi magari yanayosafirisha mizigo,bidhaa,na mazao,vipi diesel inayotumiwa katika viwanda,vipi gari moshi ,ndege na meli zinazotumia hayo mafuta??
 
Nyie si ndio mlisema mama anaupiga mwingi!
Kazi iendelee...
 
Mafuta yakipanda Bei, usafirishaji wa bidha hasa chakula unapanda Bei pia. Hivo, mafuta yakipanda hayaathiri wenye magari Sana, Bali watu wa Hali ya chini kwani mfumko wa Bei kwa vyakuala na bidhaa nyingine haukwepeki.
Sawa ila WALALAMIKAJI wakubwa Ni hawa wenye vigari vya mkopo.
 
Unataka serikali ifanye nn? Fanya kazi acheni kulalama serikali serikali kila saa wewe unafanya nn tafta hela mia tatu ni hela ndogo sana raisi hachimbi mafuta wanaochimba ndio wamepandisha
Tunasafari ndefu sana kama baadhi ya watz wanaakili za namna hii.

Hivi hujui mafuta kwa aslimia kubwa yana control bei za bidhaa nchini, ongezeko la bei ya mafuta ni leseni ya ongezeko la bei ya bidhaa zingine na ungezeko la gharama za maisha.

Inflation ikiwa kubwa matokeo ake fedha yetu itazidi kupoteza thamani,

Huyu mama mwezi Mungu ajaalie afe tu..
 
Actually sio kama mafuta hakuna ila mbwa waliopo wizarani hao ndio wauzaji wakuu wanaamua tu kuongeza bei wanavotaka,

raia wanaumia wao wanatajirika, as if wataishi milele yani..
 
Mwache mama aifungue nchi tuwakomoe hao madikteta SUKUMAGANG. Kupanda kwa bei ya mafuta ni demokrasia tuliyoikosa kipindi cha JPM.
Nyie endeleeni na ujinga wa kila hoja inayokinzana na Bibie kuitwa SUKUMAGANG.
Hadi meli itakapozama kabisa ndipo akili zitawaingia.
 
Tunasafari ndefu sana kama baadhi ya watz wanaakili za namna hii.

Hivi hujui mafuta kwa aslimia kubwa yana control bei za bidhaa nchini, ongezeko la bei ya mafuta ni leseni ya ongezeko la bei ya bidhaa zingine na ungezeko la gharama za maisha.

Inflation ikiwa kubwa matokeo ake fedha yetu itazidi kupoteza thamani,

Huyu mama mwezi Mungu ajaalie afe tu..
Wewe ndio huna akili timamu kwasababu huna unachosimamia.
 
Kuna mtu mmoja humu JF aliwahi kusema kuwa, kitendo cha Bibie kuyarudisha kwenye mfumo yale MA MBWAMWITU aliyoyafyekelea mbali JPM, kitakuwa na madhara yake.

Wengi wakisema hivyo wanaitwa Sukumagang.

Hapa kuna madudu mengi yanayofanywa na hawa MBWAMWITU.

Tutamkumbuka JPM.
 
Badala ya kuangaliwa formula tuna baki na kauli ya SISI NDIO WENYE BEI NAFUU UKANDA HUU. Wakati tunaumia. Bei duniani iliwahi fika dola 120 na bei yaetu nchini ilikuwa chini ya 2300. Sasa formula za sasa hivi sijui ni nini zimeongezeka?
 
Back
Top Bottom