Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Wabongo wakiambiwa ukweli kelele kibao.

Hawajafikia uchumi wa kumiliki gari walio wengi.
Wengi Ni ulimbukeni tu..

Unaweza kuona JAM na FOLENI la Magari hata 200 halafu unakuta kila kigari kina MTU MMOJA MMOJA tu.
 
Mkuu, it's very simple kuwa kwa convo zako you lack knowledge, yaani kama unadhani kupanda bei ya mafuta wanaoumia ni waendesha baby walker, wewe utakuwa mjinga mno. Nimetumia lugha laini kidogo.

Endelea kutumia hicho kichwa kufuga nywele
 
Punguza upumbavu, mafuta hayachimbwi Tanzania
Ni kweli hayachimbwi Tanzania, ila unaweza ku-control bei zisipande. Kenya na Rwanda wamefanya hivyo, na unaona hata wafanyabiashara wa mipakan wameanza kununua kutoka huko. Kinachotakiwa ni itiatives za ku-control bei, ili kuzuia uchumi usiathirike. Ndio maana yule Mwamba - Mwendazake alijitahidi sana ku-control bei ya Mafuta, na Exchange rate kati ya Tshs na haswa hizi major currency (USD, Pounds na Euro). Mafuta yakipanda na exchange rate zikipanda, lazima gharama za maisha zipande.
 
Kwa hili suala tukilikalia kimya ni janga la taifa serekali ipo kwa ajili ya genge la watu Fulani sio kwa ajili ya wananchi kunasababu gani kukumbatia Kodi zisizo na tija maisha yamekua magumu sana kwa kila kitu Sasa imefika wakati watanzania tuamke tuondoe hili genge la wahuni kwa hili mama umeningusha sana nimekaa tamaa na utawala wako

Watanzania Kuna haja ya kufanya jambo hawa waliopo juu si watu ni majini manyonya damu kabisa wameona hata aibu kutangaza kweli 350 tunaelekea wapi wametufanya kua waogo hata kuchukua maamuzi
Tumezoea mafuta kupanda 20 au 50 Leo mafuta yanapanda 300+
 
Ni kweli hayachimbwi Tanzania, ila unaweza ku-control bei zisipande. Kenya na Rwanda wamefanya hivyo, na unaona hata wafanyabiashara wa mipakan wameanza kununua kutoka huko. Kinachotakiwa ni itiatives za ku-control bei, ili kuzuia uchumi usiathirike. Ndio maana yule Mwamba - Mwendazake alijitahidi sana ku-control bei ya Mafuta, na Exchange rate kati ya Tshs na haswa hizi major currency (USD, Pounds na Euro). Mafuta yakipanda na exchange rate zikipanda, lazima gharama za maisha zipande.
JPM wakati anatawala vita ya Ukraine ilikuwepo? Huyo ni mwamba wa matope
 
Wewe ni takataka!

Toka hapo kwa shemeji alipoolewa dadako kwanza ndio uje ucoment
Wewe endesha baskeli lako la kuuza mayai ya shemeji yako mitaani Kisha ukamfulie boksa
 
JPM wakati anatawala vita ya Ukraine ilikuwepo? Huyo ni mwamba wa matope
Issue sio Vita, issue ni kuchukua hatua. Hauwezi ku-control nini kitokee Duniani, ila unaweza ku-minimize effect ya kilichotokea. Kenya na Rwanda wamechukua hatua kwenye vita hii hii ya Urusi na Ukraine, na Mafuta hayajapanda - na wameweza ku-control inflation. Elewa logic.....Hiyo ya JPM nimekupa fact ya vitu alivyokuwa anahakikisha ana-control.
 
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.

Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.

Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.

Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?

Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.

Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.

Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.

Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .

Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Pro hamna ane mpotosha we msikilize akiongea utv sasa hiviii yupo live
 
Issue sio Vita, issue ni kuchukua hatua. Hauwezi ku-control nini kitokee Duniani, ila unaweza ku-minimize effect ya kilichotokea. Kenya na Rwanda wamechukua hatua kwenye vita hii hii ya Urusi na Ukraine, na Mafuta hayajapanda - na wameweza ku-control inflation. Elewa logic.....Hiyo ya JPM nimekupa fact ya vitu alivyokuwa anahakikisha ana-control.
Hama huko Rwanda unasubiri nn?
 
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.

Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.

Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.

Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?

Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.

Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.

Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.

Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .

Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Usisahau Bando
 
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Wewe kweli hamnazo,kwa hiyo kupanda kwa mafuta wanaoumia ni wenye magari tu!! Hata kama ni uchawa siyo kwa kiwango duni namna hii!!
 
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Kwauelewa wako mdogo ulipoishia ni kutambua yakuwa ni wenye gari tu ndio waathirika wa bei hii?kila kitu kina safirishwa kutoka sehem furan hadi sehem nyingine ya nchi,
Ukikuwa utayajua hayo

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kitu ambacho nimegundua Wa Tanzania wengi shule Hamna kichwani kupanda Kwa mafuta si Tz tu ni janga la kidunia Kenya mafuta n ksh 200 ambayo ni sawa na elfu4 hyo kitu inahitaji knowledge ya uchumi sio mihemuko.
 
Kwasababu mto Uzi Ni mpuuzi ambaye anafikiri mafuta yanachimbea BUZA
Ungeanza na kujifunza kusoma na kuandika then ungekuja kueleweshwa ili watu wakiandika uelewe na unachoandika kieleweke.
 
Wabongo wakiambiwa ukweli kelele kibao.

Hawajafikia uchumi wa kumiliki gari walio wengi.
Ni kweli..

Ila kupanda kwa bei ya mafuta kumeleta kupanda kwa bei ya nauli, hata wasio na magari wataumia tu.
 
Kitu ambacho nimegundua Wa Tanzania wengi shule Hamna kichwani kupanda Kwa mafuta si Tz tu ni janga la kidunia Kenya mafuta n ksh 200 ambayo ni sawa na elfu4 hyo kitu inahitaji knowledge ya uchumi sio mihemuko.
Acha uongo
Kenya nafuta Ni kshs 144, ambayo ni sawa na 2880
Diesel Ksh 125, ambayo Ni sawa na 2500
 
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Kwan mabasi yanakunywa mtori si nauli na usafirishaji wa mizigo utapanda bei mafuta yanausika na mzunguko wetu wa kibongo bongo karibu asilimia 98
 
Back
Top Bottom