figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
mazishi mema , fikisheni pole zetuSalaam,
Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi
Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari..
Haikuwa kazi rahisi.. Asanteni wana Sirari kwa msaada wenu.
Kimbembe mkirudiSalaam,

View attachment 3490567
Kuna watu wanadai tutakamatwa. Hakuna anayekamatwa kuingia Nchini mwake. Kenya ndo walitakiwa watukamate kwa kuingia kwao bila Kibali.Usalama wenu mkirudi nina mashaka nao. Take care please...
Mpaka wa Tanzania na Kenya una urefu wa zaidi ya Kilometa 750.. Unaweza amua uvuke kwa kutumia ziwa, Bahari au ukatize kwa mguu, gari nk. Hakuna sehemu kuna Fensi, sehemu kubwa ni vigingi tu..Kimbe
Kimbembe mkirudi
Waambie wasije wakawa msibani kumbe nao ni msiba ijayo isiyo na mashabikiUsalama wenu mkirudi nina mashaka nao. Take care please...
Hivi Siku watawala wetu wakifa na kukawa na mass mobilisation toka upinzani kwamba tususie misiba yao, hii serikali ya ccm itakuja kulalamika kwamba imeonewa misiba yao kususiwa?Muogope sana mtu mwenye akili ndogo kichwani! Yaani wapinzani wanazuiliwa kusafiri nje ya nchi bila ya sababu za msingi, na kinyume kabisa na haki za msingi za binadamu.
Ajabu sanaImagine mtu hataki wenzie waende hata msibani!!
Yeye atapungukiwa nini sasa wakienda?
Kwani Heche hajulikani mkuuMpaka wa Tanzania na Kenya una urefu wa zaidi ya Kilometa 750.. Unaweza amua uvuke kwa kutumia ziwa, Bahari au ukatize kwa mguu, gari nk. Hakuna sehemu kuna Fensi, sehemu kubwa ni vigingi tu..
Unaweza amua uvuke usiku au Mchana
Hivi kutoka nje bila kibali ndo kosa au kuingia nchini bila kibali?Kwani Heche hajulikani mkuu