Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

so sad
 
Kinachomuua ni hayo MADAWA.

Kama mna akili timamu mtajua cha kufanya, lakini sitegemei kama mnazo.

Wacha mgonjwa aendelee KUMEZA DOZI atazimika taratibu kama mshumaa akiwa ameoza figo na maini.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee

Mchana mwema
Uzur haujawapa ngoja ukupate uone rang rang wenzako wanatia huruma
 
Aah sie tunataka peku peku kama mpoto
 
Nasikia eti mkuu Deception aliyekuwa mpingaji mkuu wa huo ugonjwa nae ameng'oka kwa ugonjwa huo ndio maana haonekani muda mrefu sana humu
Inawezekana. Last seen yake inaonesha Oktoba 2022 inamaana anakwenda mwaka wa tatu hajatimba humu. mwamba alipoteza watu sana humu na seori zake zisizo na rejea yoyote ya kisayansi.
 
vijana wa 2000 wa ajabu sana. hawajui hisani ya beberu kugawa ARV ndio imewaepushia maambukizi wakati wa kuzaliwa na sasa wako salama bila maambukizi. cha ajabu wao sasa ndio wanaitafuta HIV kwa nguvu kwa kuwa irresponsible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…