NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Tena hawa walistahiri viboko vingi kabla ya kwenda jela,..Kamuanzishie dawa haraka kabla hamjamuua bwana mdogo kwa conspiracy zenu za kitoto
ndo hawa, wanawapeleka wagonjwa kwenda kuombewa na kuambiwa waache DOZI,...shenzi type