Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

Mamy K uwe una mpikia supu ya matembele yenye karanga, mpe mbegu za tikiti maji.
Vyote hivyo vina pandisha cd4 faster.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee

Mchana mwema
Katika hao wajumbe kuna hata mmoja ambaye ana maambukizi ili kudhibitisha kua UKIMWI si kitu?? kama hakuwepo hata mmoja basi hayo yalikua ni maongezi tuu yakupoteza mda uende, yapuuzwe
 
Katika hao wajumbe kuna hata mmoja ambaye ana maambukizi ili kudhibitisha kua UKIMWI si kitu?? kama hakuwepo hata mmoja basi hayo yalikua ni maongezi tuu yakupoteza mda uende, yapuuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…