RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Wasiojulikana wamefanya yao!lazima angepigwa tu!Biashara za watu zile!Nasikia eti mkuu Deception aliyekuwa mpingaji mkuu wa huo ugonjwa nae ameng'oka kwa ugonjwa huo ndio maana haonekani muda mrefu sana humu