Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

Jidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....😭😭
Mamy K uwe una mpikia supu ya matembele yenye karanga, mpe mbegu za tikiti maji.
Vyote hivyo vina pandisha cd4 faster.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee

Mchana mwema
Katika hao wajumbe kuna hata mmoja ambaye ana maambukizi ili kudhibitisha kua UKIMWI si kitu?? kama hakuwepo hata mmoja basi hayo yalikua ni maongezi tuu yakupoteza mda uende, yapuuzwe
 
Katika hao wajumbe kuna hata mmoja ambaye ana maambukizi ili kudhibitisha kua UKIMWI si kitu?? kama hakuwepo hata mmoja basi hayo yalikua ni maongezi tuu yakupoteza mda uende, yapuuzwe
 
Back
Top Bottom