Umaskini ni ugonjwa
nafsi bardiiii,raha mustarehe😂😅
Kwaiyo ni nini labda? Horoya anaingia hapo kwakuwa naona mnadandia treni kwa mbele na mnasahau wamewakanyaga jana licha ya ubovu wao kwa goli la krosi kama ayo unayosema sio mistakeHahah. Mistakes gani hizo zimefanyika? Magoli yale unaita mistakes? Na Horoya anaingiaje hapa?
Au sio, muda ni mwalimu mzuri sana na Raja casablanca wako njiani ndio tutajua horoya na waarabu nani kibondeKumbuka pia hiyo ni shirikisho. Nyinyi na mliocheza nao hakuna mnachoizidi Horoya.
Unajistress sanaKwaiyo ni nini labda? Horoya anaingia hapo kwakuwa naona mnadandia treni kwa mbele na mnasahau wamewakanyaga jana licha ya ubovu wao kwa goli la krosi kama ayo unayosema sio mistake
SawaKama maturity ni ile kufungwa kwa set pieces basi kweli wenye akili ni wawili tuu
Sometimes try to look beyond numbersKama maturity ni ile kufungwa kwa set pieces basi kweli wenye akili ni wawili tuu
HawakumbukiMara ya mwisho kushinda kwa mkapa ilikuwa mwaka gani,?
Pia wachezaj wana mikimbio mizuri.Timu imeongeza kujiamini na inacheza bila hofu ugenini. Hii ni tofauti na zamani. Pia timu inaonekana kuwa na mipango (with and without balls). Mapungufu ya aerial balls ni janga la dunia nzima lkn Mwl ataangalia namna ya kupunguza madhara yake.
Hawa jamaa kwa Mkapa wataacha pointi zote tatu