Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Kama maturity ni ile kufungwa kwa set pieces basi kweli wenye akili ni wawili tuu
 
Hahah. Mistakes gani hizo zimefanyika? Magoli yale unaita mistakes? Na Horoya anaingiaje hapa?
Kwaiyo ni nini labda? Horoya anaingia hapo kwakuwa naona mnadandia treni kwa mbele na mnasahau wamewakanyaga jana licha ya ubovu wao kwa goli la krosi kama ayo unayosema sio mistake
 
Kwaiyo ni nini labda? Horoya anaingia hapo kwakuwa naona mnadandia treni kwa mbele na mnasahau wamewakanyaga jana licha ya ubovu wao kwa goli la krosi kama ayo unayosema sio mistake
Unajistress sana
 
84C56B49-C418-4154-B29E-744DDCFC256D.jpeg
 
Kwangu mm team analysis ya bench la ufundi yanga halikufanya kazi yake vzr,mabeki wote wa yanga walikua wafupi kasoro Bangala,namba 8 ilikufa kabisa na akashindwa fanya mabadiliko mapema,hakuna mbadala wa morrison or Fei toto.
Hata kwa mkapa kwa uchezaji huu ngumu kushinda
 
Wenzako wamecheza kimalengo na kuangalia mbinu yao, pasi chache tu wakawa wanafika golini na wamefanikiwa kudhibiti kila njia yenu ya kushambulia kuanzia mashuti ya mbali hadi krosi hazikuwa na madhara. Wamewaachia pasi mpige mtakavyo wanachotaka ni goli tu
 
Timu imeongeza kujiamini na inacheza bila hofu ugenini. Hii ni tofauti na zamani. Pia timu inaonekana kuwa na mipango (with and without balls). Mapungufu ya aerial balls ni janga la dunia nzima lkn Mwl ataangalia namna ya kupunguza madhara yake.

Hawa jamaa kwa Mkapa wataacha pointi zote tatu
Pia wachezaj wana mikimbio mizuri.
 
Back
Top Bottom