Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Mechi na Africain hao wawili walifanya nn. Analysis yako imekimbilia kutaja mapengo tu. Hamna kitu
 
Nabi wanasema ni prof lakini sijaona uwezo wake uwanjani , Amezoea kukariri line up , Djuma, Kisinda, Moloko Hata diara hawakutakiwa kuwepo , hawana Jipya.

Wangetakiwa waanze Metacha, lomalisa, farid, mauya
 
Yanga wamefungwa kwasababu ya ubora wa Simba
 
Hahaha Yanga aisee hamuishiwagi vituko. Ehe, kwa hiyo hawa kwa Mkapa hawatoki siyo? Hawa jamaa wangetaka kuwapiga hata 4 leo wangeweza.
kwanini hawakutupiga 4? YANGA wamecheza vizuri
 
Wameshindwa nini sasa, kumbuka pia hawa sio horoya, Usije ukalinganisha timu uliyocheza nayo na hawa jamaa, kiufupi mistake imefanyika na wakajua namna ya kuwadhibiti
Hahahahaa maneno ya mkosaji sasa haya... Kwani Horoya na Monastir kwenye ranking za CAF ni timu ipi ni bora? Maana unatakiwa kulinganisha kwa namba na sio kwa hisia zako ukadhani unaujua mpira....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…