Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Kwangu mm team analysis ya bench la ufundi yanga halikufanya kazi yake vzr,mabeki wote wa yanga walikua wafupi kasoro Bangala,namba 8 ilikufa kabisa na akashindwa fanya mabadiliko mapema,hakuna mbadala wa morrison or Fei toto.
Hata kwa mkapa kwa uchezaji huu ngumu kushinda
Mechi na Africain hao wawili walifanya nn. Analysis yako imekimbilia kutaja mapengo tu. Hamna kitu
 
Nabi wanasema ni prof lakini sijaona uwezo wake uwanjani , Amezoea kukariri line up , Djuma, Kisinda, Moloko Hata diara hawakutakiwa kuwepo , hawana Jipya.

Wangetakiwa waanze Metacha, lomalisa, farid, mauya
 
Kwangu mm team analysis ya bench la ufundi yanga halikufanya kazi yake vzr,mabeki wote wa yanga walikua wafupi kasoro Bangala,namba 8 ilikufa kabisa na akashindwa fanya mabadiliko mapema,hakuna mbadala wa morrison or Fei toto.
Hata kwa mkapa kwa uchezaji huu ngumu kushinda
Yanga wamefungwa kwasababu ya ubora wa Simba
 
Wameshindwa nini sasa, kumbuka pia hawa sio horoya, Usije ukalinganisha timu uliyocheza nayo na hawa jamaa, kiufupi mistake imefanyika na wakajua namna ya kuwadhibiti
Hahahahaa maneno ya mkosaji sasa haya... Kwani Horoya na Monastir kwenye ranking za CAF ni timu ipi ni bora? Maana unatakiwa kulinganisha kwa namba na sio kwa hisia zako ukadhani unaujua mpira....
 
Back
Top Bottom