[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mnooooooNahis utakuw umecheka kwa sauti hapo ulipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumepigwa hiziiii [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2515711
Hao wababe wao walifungwa ndani na nje na Al Ahly. 3 mtungi Cairo na 1 bila Tunis.Sio timu ya kutisha ya level za Al Ahly.Anajifariji kwamba eti Horoya ni mbovu kuliko hao watunis. Wanajiona wamecheza na Al ahly.
Wenzetu wanacheza kwa malengo, baada ya goli mbili wakatulia. Wakawaachia nyie mpigiane pasi zisizo na malengo.Mbona hawakupiga hizo nne?
Hongera nyie kwa ushindi wa juziTunafungwa vipi wakat tuna jezi kali??
Sisi atuwez shinda jezi zetu mbovu sanaHongera nyie kwa ushindi wa juzi
Tatizo la jukwaa hili ni kuruhusu watu wa viwango vyote vya akili kushiriki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mnoooooo
SawaKwa mwendo huo hamuwezi vuka hapo.
Hahah atari sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mnoooooo