Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Tumepigwa hiziiii 😂😂😂
FB_IMG_1676267300892.jpg
 
Anajifariji kwamba eti Horoya ni mbovu kuliko hao watunis. Wanajiona wamecheza na Al ahly.
Hao wababe wao walifungwa ndani na nje na Al Ahly. 3 mtungi Cairo na 1 bila Tunis.Sio timu ya kutisha ya level za Al Ahly.
 
"Ila pamoja na kufungwa tulikua na mikimbio mizuri sana" mara eeenh hatujakaa sawa tukasikia wametufunga lakini tumewapigia pira hilooo nikasema lahaulaaa!! Nataka niondoke mara kwa sauti ya uchungu kidogo kutoka kwa mzee mmoja akasema ila pale angekuwepo yule mzenji feysooool, moyoni nikawaza hapa maji yameshazidi unga 😂😂 nb simba na yanga ni Kurwa na Doto hao
 
Back
Top Bottom