themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,806
- 2,830
Watu Na okoyoko ni vitu viwili tofauti..
Tonatofautiana mitazamo Na misimamo..
Sio kisha donatila anahonga milioni Na okoyoko ahonge million au buku tano yake.
Usipende kujifananisha Na watu, usipende kuoga ya watu. Tengeneza utambulisho wako. Muache okoyoko aishi kiuhalisia sio kama wengine wanavyoishi.
Any Questions?
Dash Nina voda tu labda utume kwahiyi voda mkuu..Daaaah weee mshenzi wewe umetisha mtu wangu
Yani bundle lako unalitumia kwa haki kabisa
Kama unanamba ya m-net nicheck nikutumie ata vocha mtu wangu
[emoji106]Sio biashara, huyo mwanamke unataka akikupa papuchi umkute yuko safi, unataka aitoe wapi pesa ya kununua sabuni? acha kulalamika unatuaibisha wanaume.
Siku utakayokuja kuwa na hela utaona maswala kama hayo kawaida, Wenzako wanatoa mamilioni hata denda hawajawahi pewa na huwasikii wakilia lia.
hahahahaBinti yupi...!??
Acheni masihara.
Si mpenzi... Si mchumba... Hajapiga game...
Atupe hela!?
Mimi kuna mzigo nilikuta nao tukiwa high...tukasemezana tukapeana 1 9t stand. Asubuhi kila mtu akatembea na zake.
Baada ya wiki akaanza kulia njaa.. Nlishangaa sana. Nikamuuliza mbona unaniomba hela!? Akasema eti nimemtomb@ bure. I was like wtff... Nimemtomb@ bure au tumetomb@na.
Nikampotezea. Hadi leo ananidai... Ni mwanamke wa dar.
Dash Nina voda tu labda utume kwahiyi voda mkuu..
Ahsante kwa Appreciation kiongozi
Ulishawah kuhonga hayo mamilion kwa sababu ya papuchi?Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
Mimi Ke...acha ubahili wewe...Ulishawah kuhonga hayo mamilion kwa sababu ya papuchi?
Pamoja sana kiongozi wanguDaaah ila sio mbaya next time brother
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mim na mpenz wangu huwa tunasaidiana na kuonbana vochaDaaaah mkuu buku 5, mpe tuu alikuwa anakutext kila siku na ulikuwa unaenjoy those msgs, hiyo hela ya airtime ilikuwa yake so mpe anunue airtime au hujamiss msgs?[emoji23]
Mkuu siku izi warembo wengi ni MaTP.....Ila mkuu umemkosea Dada wa watu. Elfu 5 utakuta alitaka ya vocha ili muendelee kuchat labda na muda huo alikua sehemu hawez kupata vocha ukamchunia. Mimi ningekupa na block kabisa. Ubahili unacost vijana ndo maana tunaenda kwa wazee wenu
MaTP ndo nini mkuu? Huyo Dada ulitakiwa umpe na block. Anakuombaje kisa amekupa Namba sasa. Kama anauza Namba si anasema tu mapemaMkuu siku izi warembo wengi ni MaTP.....
Imagine nilikutana na mdada nkamsalimu kwa heshima nkaomba namba nkapewa kabla sijasave akaniomba 10000 akale....... Nkabonyeza red button tu, si kwamba skua na hiyo ela au simwezi ila alinichosha.
Kuna situaon ya mtu kua kwenye shida awe mchumba, au mtu yoyote anasaidiwa tena si ata mtu aombe ila ni wajibu wetu ila kunastile nyingine za kuchukuliana maboya...
Mtu hasiye na amani moyoni ni yule anayependa kujilinganisha na watu.Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
Mdaiwa sugu [emoji2][emoji2][emoji2]Binti yupi...!??
Acheni masihara.
Si mpenzi... Si mchumba... Hajapiga game...
Atupe hela!?
Mimi kuna mzigo nilikuta nao tukiwa high...tukasemezana tukapeana 1 9t stand. Asubuhi kila mtu akatembea na zake.
Baada ya wiki akaanza kulia njaa.. Nlishangaa sana. Nikamuuliza mbona unaniomba hela!? Akasema eti nimemtomb@ bure. I was like wtff... Nimemtomb@ bure au tumetomb@na.
Nikampotezea. Hadi leo ananidai... Ni mwanamke wa dar.