okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,641
Hello guys
Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia denda tu kutoka kwa huyo demu
UGOMVI ULIPOANZIA
Aliniomba elf 5 kudai ana shida nayo, wakati papuchi hajawahi kunipa, kila nkimwambia aje gheto anadai yupo busy, nkamuuliza kama ananikomoa au VIPI, pia nikamwambia kuwa hajanipenda ndo maana ananiomba elf 5, akaongea kidogo, baada ya siku hiyo mpaka Leo ni wiki 3 sasa tumechuniana wakati alikuwa anapenda kuni-text kila siku.
Nakubali kwenye mahusiano kuna kusaidiana, ila mm kufanywa zoba, cjui buzi, ATM kisa k*ma wakati wengine wanajilia bureee kiurahisi, mm sitaki, cjui wanaume mnaotongoza kwa kutumia pesa mnafanyaje aisee maana kweli mm kuhonga pesa nlioitolea jasho kindezi ndezi cwezi