Ukienda nchi Kama Canada hususani mji wa Toronto ukawasimulia Ile sayansi ya kuhamisha mazao shambani kichawi Hawata kuelewa πππ
Ki mji Kama Ontario ambacho Ni Kama ki mkuranga au ki mbagala kinaweza kulisha mataifa kadhaa
,where quantities of winter wheat, soybeans, corn and field beans zinalimwa na kuvunwa kwa tones & tones
Nchi za ulaya na America zilipambana Sana karne ya 16 na 17 kutokomeza Imani potofu kwa watu wake
Sisi kule kigoma na wilaya zake tunaendelea na operation za kamchape na kuamini mkulima au mfanya biashara tajiri Ni Freemasons na mtoa kafara
Agrarian revolution ilikua Ni process then ikatokea baadae ndio industrial revolution Leo watanganyika tupo Karne 21 ya science and technologies alafu matendo na akili zetu zipo Karne ya 16 na 17 huko Ni balaa sanaaa