KERO Tumehitimu CBE Dar lakini mfumo unasoma ‘continue’, tunashindwa kupata vyeti

KERO Tumehitimu CBE Dar lakini mfumo unasoma ‘continue’, tunashindwa kupata vyeti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Elimu ya Biashara, nimehitimu chuo cha Elimu ya Biashara CBE Dar es Salaam Mwaka 2025 lakini changamoto iliyopo mpaka leo mfumo unasoma continue wakati nimeshahitimu.

Mimi na wenzangu tumefuatilia sana wanasema wanalifanyia kazi wakidai changamotoipo kwenye mfumo, lakini hakuna wanachofanyia kazi inakuwa vigumu sisi kupata vyeti na transcript result.

Kwa ujumla CBE mfumo wao mbovu sana na hii changamoto ni endelevu tangu naanza chuo hadi namaliza ishu za mfumo ni changamoto, wanasema wanalifanyia kazi lakini hakuna mwendelezo wowote.
 
Wewe si umeahamaliza chuo lakini? Nini unataka tena kula kona
 
Amekuambia anahitaji cheti cha kumaliza lakini hawezi kupata kwakuwa mfumo unaonesha kuwa bado anaendelea kusoma hapo
 
Back
Top Bottom