Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.