Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
😁😁😁😁 wananchiiiiBabaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Yeye ikulu aliishi Hivi Hivi?Kikwete aliwashauri muache kuwekeza kwenye hayo mambo, lakini bado HAMSIKII!!
Manara alikuwa sahihi sana kuhusu nyie.
Kumbe yule Prezdaa naye anategemea uchawi ndiyo maana amewaita kuwa ni wala mihogo bila hofu wala woga!!Hakuna watu wachawi nchi hii Kama Marais wanaokuwa madarakani.
Mimi na gubu wapi na wapi!
Ukiendelea kuota hivyo kuna dalili za kunya kitandaniMbumbumbu watashangaa
Tunatoa 1_1
Yanga tunafuzu
Duu! Msitegemee kufika mbali endapo bado mnaendekeza haya mambo ya ushirikina.Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
acheni uongo mimi nipo tunisia na hakina hata mzee mmojaBabaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Vipi mmekumbuka muhogo wa Jang'ombe au bado mnaendelea na mwiko nyuma?Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Mbumbumbu watashangaa
Tunatoa 1_1
Yanga tunafuzu