The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Najiuliza hivi wasomi wetu hawajui kama Kila siku tunaongozwa na katiba? Hivi wasomi wetu hawajui kama tunaiishi katiba tuliyonayo?
Hivi Rais wetu hajui kama Tanzania anayoiongoza iko hivyo anavyoiona kutokana na uwajibikaji Kwa katiba wa Kila raia wa Tanzania?
Iweje useme eti hawaijui?
Iweje wasiijue katiba iliyotumika kuwaongoza tangia mwaka 77!?
Iweje tangia 77 mpaka Leo wasijue mapungufu na madhaifu ya katiba!?
Je, haya si matusi Kwa watanzania?