kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Mfumo wa utengenezaji magari duniani umebadilika miaka ya karibuni kutoka kwenye full mechanical kuwa advanced technology jambo ambalo ni changamoto kubwa kwa nchi zinazoendelea ambazo kwa kiasi kikubwa zinategemea magari mitumba (used).
Miaka ya 90 kurudi nyuma magari mengi yalikua hayasumbui sana na spea zake zilikua simple sana kama Land rover 109, Toyota Staut,n.k pia system zake sio complicated kama magari ya sasa. Kuna lawama sana mtaani kuwa gari flan mbovu , gari flan mifumo yake ya umeme ina matatizo ila ukweli ni kuwa kama gari zimeuzika sana ulaya na Asia kwa miaka 10 zina ubora ila life span yake inakaribia ukingoni! Magari ya miaka ya90 kurudi nyuma yalitengenezwa kwa imara na kuhimili barabara mbovu pia materials imara kudumu miaka mingi.
Gari za sasa ili zisikusumbue sana unatakiwa MPYA au au iliyotumika kidogo,La sivyo ukinunua hizi gari kama mtumba lazima zikusumbue.
Gari kama hizi zinatusumbua kwa sababu hatujajiandaa kwa magari ya ulimwengu wa sasa!! Vyuo vyetu vya ufundi bado wanatumia mitaala ya1970's
Wachina wanatumia fursa hii kupiga hela maana sisi bado tumelala