Tumejiandaa vipi kukabiliana na magari ya ulimwengu wa sasa? Hakika tupo nyuma

Tumejiandaa vipi kukabiliana na magari ya ulimwengu wa sasa? Hakika tupo nyuma

Gari zote bado zinatumia internal combustion engine.

Ambayo ni nuts and bolts, wheel and shaft mechanical system.

Industry experts wanasema kwa mustakabali unaaonekana, forseeable future, gari bado litaendelea kuwa internal combustion engine.

Hilo halikwepeki.
 
Watu siku hizi wameamua kununua mpya kabisa ili wasisumbuke, anatumia miaka 3 anaiuza kwa bei nzuri sana
Wengi tunapenda kununua mapya, shida ni mshiko. Hilux D4 inaenda mpaka 130,000,000/- ama Volkswagen Amarok nayo inaelekea huko huko. Nani ataiweza hiyo?
 
Wengi tunapenda kununua mapya, shida ni mshiko. Hilux D4 inaenda mpaka 130,000,000/- ama Volkswagen Amarok nayo inaelekea huko huko. Nani ataiweza hiyo?
N in ngumu sana kwa uchumi wa nchi yetu imagine mtu unafanya kazi miaka 30 pension unapata mil70 ambayo huwezi pata Amarock mpya! Si mchezo
 
Elimu
Elimu
Elimu

Wenzetu wanafundishana kukabiliana na mazingira halisi waliyonayo ili yawawezeshe kuishi maisha yajayo.

Elimu yetu mpaka sasa tunashindanisha watu KUKARIRI maandishi.

Zililetwa D4 engine hapa ikawa mtafutano, si tumekariri zile tulizojifunzia.
Unapeleka gari gereji kwaajili ya Preventive Maintenance, unashangaa hata mwaka mzima, utafanyiwa vile vile; hakuna anayejali kuwa gari ina 150,000km, 10,000km, zote ni sawa tu kwao, kwanini? Tumekariri!
Pia ukitoka huko wanakuongezea na tatizo. Jamaa wa alignment ukiwapelekea lazima waivuruge tu. Hawajui kuwa alignment inapimwa kwanza kuona kama imetoka.

Oil filter wanafungua kwa kamba 🙂🙂
 
Yapo magari ukweli ni kuwa mfumo wake wa umeme upo complicated. Gari zenyewe zipo complicated. Na hasa BMW na MB. Hawa jamaa magari yao yamejaa umeme, usishangae ukikaa vibaya tu kwenye siti gari haiwaki tena 😀😀😀 mpaka uende kwa dealer.
Sio. Complecated ni sisi hatuelewi wenzetu wanenda vyuoni kujiuodate na mifumo ya vyio vyao iko poa sisi tunategemea kujifunzia humo humo kwenye magari ya watu!!
Lazima tuyaone kua ni vomplecated ila. Ukweli sisi hatujifunzi
 
hamna ndugu yangu, ata wao uko Ulaya wanajua vyema magari haya ya umeme yalivokuwa complicated.

Sema kwa sisi waafrika ni kweli, tunasubiri mtu atuletee gari lake tuanze kujifunzia apo apo
 
Elimu
Elimu
Elimu

Wenzetu wanafundishana kukabiliana na mazingira halisi waliyonayo ili yawawezeshe kuishi maisha yajayo.

Elimu yetu mpaka sasa tunashindanisha watu KUKARIRI maandishi.

Zililetwa D4 engine hapa ikawa mtafutano, si tumekariri zile tulizojifunzia.
Unapeleka gari gereji kwaajili ya Preventive Maintenance, unashangaa hata mwaka mzima, utafanyiwa vile vile; hakuna anayejali kuwa gari ina 150,000km, 10,000km, zote ni sawa tu kwao, kwanini? Tumekariri!
Sio kukariri mkuu tatizo issue inakuja pale mfumo unapobadilika.

Huyo mtu ameenda kusoma veta 5yrs nyuma na katika mfumo wao alikutana na mfumo wa kutengeneza wa miaka ya 90 saiv mambo yanabdilika.

Kujiupgrade ndio inakua issue kwani pia inahitaji gharama.

Wenzetu wamefanikiwa kujinga katika masomo ya kujifunza kila hali inapobdilika sasa kwa hapa kwetu utaelekea vyuo gan ambavyo na wao wanaenda na mifumo.
 
Kunasiku nikipeleka gari garage uswazi wakamwage oil ya gear box wakakosa pakumwagia nikaambiwa hii gear box haimwagwi oil mpaka ife upandishe nyingine
 
Kunasiku nikipeleka gari garage uswazi wakamwage oil ya gear box wakakosa pakumwagia nikaambiwa hii gear box haimwagwi oil mpaka ife upandishe nyingine
 
N in ngumu sana kwa uchumi wa nchi yetu imagine mtu unafanya kazi miaka 30 pension unapata mil70 ambayo huwezi pata Amarock mpya! Si mchezo
Wakati kwa sehemu kama ulaya au marekani hio ni income ya mwaka mmoja kwa mtumishi wa kawaida tu 😄😄😄.
 
Kwa kipato cha kibongo bongo kama sio mfanyabiashara wa mda mrefu kununua gari ni nightmare.
 
Back
Top Bottom