Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hizi gari zina muda wake wa kukaa barabarani ikifikisha km kadhaa inasubua sana maana karibu kila kifaa kinakua kimeanza kuchoka.ukijidai kukomaa nalo ndo kila siku garageYapo magari ukweli ni kuwa mfumo wake wa umeme upo complicated. Gari zenyewe zipo complicated. Na hasa BMW na MB. Hawa jamaa magari yao yamejaa umeme, usishangae ukikaa vibaya tu kwenye siti gari haiwaki tena 😀 😀 😀 mpaka uende kwa dealer.
Na ndio maana depreciation ya haya magari ya ujerumani ni kubwa mno. Shida ipo kwenye maintainance, vitu vyake ni ghali in the name of luxury ata kama ni la zamaniNa hizi gari zina muda wake wa kukaa barabarani ikifikisha km kadhaa inasubua sana maana karibu kila kifaa kinakua kimeanza kuchoka.ukijidai kukomaa nalo ndo kila siku garage
Hahaha tunasubiri ulete Rav4 ya 2019 tuanze darasa la kujifunzahamna ndugu yangu, ata wao uko Ulaya wanajua vyema magari haya ya umeme yalivokuwa complicated.
Sema kwa sisi waafrika ni kweli, tunasubiri mtu atuletee gari lake tuanze kujifunzia apo apo