Analeta mzaha huyo jamaa.Unajua bei ya gari mpya mkuu??
Wengi tunapenda kununua mapya, shida ni mshiko. Hilux D4 inaenda mpaka 130,000,000/- ama Volkswagen Amarok nayo inaelekea huko huko. Nani ataiweza hiyo?Watu siku hizi wameamua kununua mpya kabisa ili wasisumbuke, anatumia miaka 3 anaiuza kwa bei nzuri sana
N in ngumu sana kwa uchumi wa nchi yetu imagine mtu unafanya kazi miaka 30 pension unapata mil70 ambayo huwezi pata Amarock mpya! Si mchezoWengi tunapenda kununua mapya, shida ni mshiko. Hilux D4 inaenda mpaka 130,000,000/- ama Volkswagen Amarok nayo inaelekea huko huko. Nani ataiweza hiyo?
Pia ukitoka huko wanakuongezea na tatizo. Jamaa wa alignment ukiwapelekea lazima waivuruge tu. Hawajui kuwa alignment inapimwa kwanza kuona kama imetoka.Elimu
Elimu
Elimu
Wenzetu wanafundishana kukabiliana na mazingira halisi waliyonayo ili yawawezeshe kuishi maisha yajayo.
Elimu yetu mpaka sasa tunashindanisha watu KUKARIRI maandishi.
Zililetwa D4 engine hapa ikawa mtafutano, si tumekariri zile tulizojifunzia.
Unapeleka gari gereji kwaajili ya Preventive Maintenance, unashangaa hata mwaka mzima, utafanyiwa vile vile; hakuna anayejali kuwa gari ina 150,000km, 10,000km, zote ni sawa tu kwao, kwanini? Tumekariri!
Sio. Complecated ni sisi hatuelewi wenzetu wanenda vyuoni kujiuodate na mifumo ya vyio vyao iko poa sisi tunategemea kujifunzia humo humo kwenye magari ya watu!!Yapo magari ukweli ni kuwa mfumo wake wa umeme upo complicated. Gari zenyewe zipo complicated. Na hasa BMW na MB. Hawa jamaa magari yao yamejaa umeme, usishangae ukikaa vibaya tu kwenye siti gari haiwaki tena πππ mpaka uende kwa dealer.
hamna ndugu yangu, ata wao uko Ulaya wanajua vyema magari haya ya umeme yalivokuwa complicated.Sio. Complecated ni sisi hatuelewi wenzetu wanenda vyuoni kujiuodate na mifumo ya vyio vyao iko poa sisi tunategemea kujifunzia humo humo kwenye magari ya watu!!
Lazima tuyaone kua ni vomplecated ila. Ukweli sisi hatujifunzi
Pia wew fundi magari au[emoji1] [emoji1] [emoji1]Duuuh[emoji15] ....huyo fundi or?
Sio kukariri mkuu tatizo issue inakuja pale mfumo unapobadilika.Elimu
Elimu
Elimu
Wenzetu wanafundishana kukabiliana na mazingira halisi waliyonayo ili yawawezeshe kuishi maisha yajayo.
Elimu yetu mpaka sasa tunashindanisha watu KUKARIRI maandishi.
Zililetwa D4 engine hapa ikawa mtafutano, si tumekariri zile tulizojifunzia.
Unapeleka gari gereji kwaajili ya Preventive Maintenance, unashangaa hata mwaka mzima, utafanyiwa vile vile; hakuna anayejali kuwa gari ina 150,000km, 10,000km, zote ni sawa tu kwao, kwanini? Tumekariri!
NdioPia wew fundi magari au[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wakati kwa sehemu kama ulaya au marekani hio ni income ya mwaka mmoja kwa mtumishi wa kawaida tu πππ.N in ngumu sana kwa uchumi wa nchi yetu imagine mtu unafanya kazi miaka 30 pension unapata mil70 ambayo huwezi pata Amarock mpya! Si mchezo