Tumejiandaa vipi kukabiliana na magari ya ulimwengu wa sasa? Hakika tupo nyuma

Na hizi gari zina muda wake wa kukaa barabarani ikifikisha km kadhaa inasubua sana maana karibu kila kifaa kinakua kimeanza kuchoka.ukijidai kukomaa nalo ndo kila siku garage
 
Na hizi gari zina muda wake wa kukaa barabarani ikifikisha km kadhaa inasubua sana maana karibu kila kifaa kinakua kimeanza kuchoka.ukijidai kukomaa nalo ndo kila siku garage
Na ndio maana depreciation ya haya magari ya ujerumani ni kubwa mno. Shida ipo kwenye maintainance, vitu vyake ni ghali in the name of luxury ata kama ni la zamani
 
Kuna gari fulani nilikuwa nayo, kwenye bonnet ukifungua kuna pipes na waya kama sitini... Huu umetoka hapa, umeingia pale! Nikajiuliza hili gari likinifia itakuwaje!
 
Kuna gari fulani nilikuwa nayo, kwenye bonnet ukifungua kuna pipes na waya kama sitini... Huu umetoka hapa, umeingia pale! Nikajiuliza hili gari likinifia itakuwaje!
Mwisho ulipata jibu gani?? Hahahaahh
 
hamna ndugu yangu, ata wao uko Ulaya wanajua vyema magari haya ya umeme yalivokuwa complicated.

Sema kwa sisi waafrika ni kweli, tunasubiri mtu atuletee gari lake tuanze kujifunzia apo apo
Hahaha tunasubiri ulete Rav4 ya 2019 tuanze darasa la kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…