MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Hii kitu inakuja Tz. Kama si leo, ni kesho kwa sababu inaelekea Magufuli hayuko tayari kubadilika. Anatengeneza chuki kubwa miongoni mwa waTz na hatimaye itafika pahali italipuka!!Solution ya matatizo yote ya kifisadi ya kisiasa ni kufanya kama Nigeria.Hakuna solution zaidi ya nguvu ya umma.Buhari sasa hivi anaomba maridhiano![emoji847][emoji847][emoji847]
Inabid tuongee na Amsterdam labda anaweza tusaidia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Habarini wenzangu, kama tuonavyo mambo ndio yanaelekea mwishoni, Tumejiandaaje pale Mawasiliano yakizimwa?
Yaani JF, WhatsApp, Facebook, Insta, Telegram, Signal, SMS zikawa inaccessible.
Njia gani mbadala itatumika kupashana habari?
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” haiendi
Ameshindwa kwenda kusini kuomba kura sababu hana cha kuwaambia kwa mabaya aliyowatendea leo ataki Lisu aende kusini.Hii kitu inakuja Tz. Kama si leo, ni kesho kwa sababu inaelekea Magufuli hayuko tayari kubadilika. Anatengeneza chuki kubwa miongoni mwa waTz na hatimaye itafika pahali italipuka!!
Njaa imeibomoa Sana ccm vijijini.Kule ndo haitakiwi kabisa. We uoni mapokezi ya Lisu vijijini yanavyoleta matumainiHaitatokea hivyo chama cha kijani kina Wana chama wengi sana vijjn ni tofauti sana na chama pendwa chenye mashabik wengi town nao wengi syo wapiga kura.
Unajua CCM inapendwa sana vijijini, ambapo kimsingi kuna wapiga kura wengi. Humu mitandaoni ni Chadema of course lakini ndiyo vile tena wapo wachache sana. So there will be no point in such an action to be taken. Absolutely no need.
Amani ndio jambo la msingi
Nikimaliza form 4 nikiwa na miaka 16 sasa sijui huo utu uzima unao uhesabia wewe ni upi? Kwa maana kwa sheria ya nchi ni mpaka niwe na miaka 18 ndiyo mahesabika kama mtu mzima.Mwanafunzi mwenye miaka 18 anazuiwa kuwa mwana chama wa chama cha siasa?
Mwanafunzi wa form four ni mtu mzima.
Hapo mwisho umeandika lugha gani? Yaani haueleweki hivi hata kidato cha nne ulipita kweli?Unajua CCM inapendwa sana vijijini, ambapo kimsingi kuna wapiga kura wengi. Humu mitandaoni ni Chadema of course lakini ndiyo vile tena wapo wachache sana. So there will be no point in such an action to be taken. Absolutely no need.
Lakini sio kwa utaratibu huu wa kupita mashuleni na sh 10,000 kwa kila mwanafunzi mwenye kadi ya kupiga kura!Mwanafunzi mwenye miaka 18 anazuiwa kuwa mwana chama wa chama cha siasa?
Mwanafunzi wa form four ni mtu mzima.
Unajua CCM inapendwa sana vijijini, ambapo kimsingi kuna wapiga kura wengi. Humu mitandaoni ni Chadema of course lakini ndiyo vile tena wapo wachache sana. So there will be no point in such an action to be taken. Absolutely no need.
Asante kwa elimu chief.Root,
Ulichosema kinawezekana kabisa ingawaje The Boss hapo juu amehoji kwanini wazime!!!
Sasa wakati unauliza tutafanyaje, wewe mwanzilisha thread ningekushauri hamasisha watu waanze kutumia VPN!!!
Kwa wasiofahamu VPN, hii ni app ambayo ina-fake location!!
Ilivyo ni kwamba, hata TCRA wakisema wazime social media zote, watakachoweza kufanya ni ku-PIN location ya Tanzania, na kwahiyo ukiwa Tanzania hutaweza kupata FB, Twitter, JF and the like!!
So, unapotumia VPN, hiyo inakupa fursa ya kuficah your true location/IP Address, na badala yake utachagua isome IP Adress ya somewhere else, outside Tanzania!!
Kwa wake wapenda vya dezo, mnaweza kutumia Windscribe ambayo unaweza ku-downloand hapa! Kama ungependa kuwa na Premium VPN, ningeshauri ExpressVPN lakini sio mbaya ukitumia muda kidogo kutafuta coupon!