Uchaguzi 2020 Tumejiandaaje ikitokea mawasiliano yote yakazimwa?

Uchaguzi 2020 Tumejiandaaje ikitokea mawasiliano yote yakazimwa?

Solution ya matatizo yote ya kifisadi ya kisiasa ni kufanya kama Nigeria.Hakuna solution zaidi ya nguvu ya umma.Buhari sasa hivi anaomba maridhiano![emoji847][emoji847][emoji847]
Hii kitu inakuja Tz. Kama si leo, ni kesho kwa sababu inaelekea Magufuli hayuko tayari kubadilika. Anatengeneza chuki kubwa miongoni mwa waTz na hatimaye itafika pahali italipuka!!
 
Itawacost wao maana pesa zitapigwa Sana kufa kufaana bila mitandao hakuna e government hata wao mambo yao yatakwama.
 
Hii kitu inakuja Tz. Kama si leo, ni kesho kwa sababu inaelekea Magufuli hayuko tayari kubadilika. Anatengeneza chuki kubwa miongoni mwa waTz na hatimaye itafika pahali italipuka!!
Ameshindwa kwenda kusini kuomba kura sababu hana cha kuwaambia kwa mabaya aliyowatendea leo ataki Lisu aende kusini.
Kule apati kura hata moja
 
Wao wazime wawashe haituhusu kila mtz ashajua mgombea wake ni nani
 
Kusini awataki hata kumsikia kwa alivyowaumiza thus amekacha kwenda kusini
 
Haitatokea hivyo chama cha kijani kina Wana chama wengi sana vijjn ni tofauti sana na chama pendwa chenye mashabik wengi town nao wengi syo wapiga kura.
Njaa imeibomoa Sana ccm vijijini.Kule ndo haitakiwi kabisa. We uoni mapokezi ya Lisu vijijini yanavyoleta matumaini
 
sasa hivi ukituma sms yenye jina Tundu Lissu haiendi. watumizi wa voda com jaribuni muone.
 
Naona mgombea fulani ameteka mitandao ya simu imuombee kura kwa SMS..
 
Unajua CCM inapendwa sana vijijini, ambapo kimsingi kuna wapiga kura wengi. Humu mitandaoni ni Chadema of course lakini ndiyo vile tena wapo wachache sana. So there will be no point in such an action to be taken. Absolutely no need.

Ccm haipendwi na ndio mana wanatapatapa
 
Mwanafunzi mwenye miaka 18 anazuiwa kuwa mwana chama wa chama cha siasa?
Mwanafunzi wa form four ni mtu mzima.
Nikimaliza form 4 nikiwa na miaka 16 sasa sijui huo utu uzima unao uhesabia wewe ni upi? Kwa maana kwa sheria ya nchi ni mpaka niwe na miaka 18 ndiyo mahesabika kama mtu mzima.
 
Unajua CCM inapendwa sana vijijini, ambapo kimsingi kuna wapiga kura wengi. Humu mitandaoni ni Chadema of course lakini ndiyo vile tena wapo wachache sana. So there will be no point in such an action to be taken. Absolutely no need.
Hapo mwisho umeandika lugha gani? Yaani haueleweki hivi hata kidato cha nne ulipita kweli?

No offence.
 
Sizani Kama wa access ya ku-blok social media labda notweks zao za Tigo Voda nk....

tujiandae kutumia WI-FI
 
nafikiri wata control speed tu lakini sio kuzima kabisa kwa sababu itakuwa ni loss kubwa kwa telecommunication companies na mbaya zaidi haya makampuni sio yetu ni ya nje
 
Watakao zimiwa nikale kaNEC kadogo kahapa Tanzania kanakotaka kukusanya matokeo yao ya uongo kisha kuyatuma kwa wenzao wa Kenya.
 
Mwanafunzi mwenye miaka 18 anazuiwa kuwa mwana chama wa chama cha siasa?
Mwanafunzi wa form four ni mtu mzima.
Lakini sio kwa utaratibu huu wa kupita mashuleni na sh 10,000 kwa kila mwanafunzi mwenye kadi ya kupiga kura!
 
Unajua CCM inapendwa sana vijijini, ambapo kimsingi kuna wapiga kura wengi. Humu mitandaoni ni Chadema of course lakini ndiyo vile tena wapo wachache sana. So there will be no point in such an action to be taken. Absolutely no need.

Book 7 unajua nini wewe empty kabisa
 
Root,

Ulichosema kinawezekana kabisa ingawaje The Boss hapo juu amehoji kwanini wazime!!!

Sasa wakati unauliza tutafanyaje, wewe mwanzilisha thread ningekushauri hamasisha watu waanze kutumia VPN!!!

Kwa wasiofahamu VPN, hii ni app ambayo ina-fake location!!

Ilivyo ni kwamba, hata TCRA wakisema wazime social media zote, watakachoweza kufanya ni ku-PIN location ya Tanzania, na kwahiyo ukiwa Tanzania hutaweza kupata FB, Twitter, JF and the like!!

So, unapotumia VPN, hiyo inakupa fursa ya kuficah your true location/IP Address, na badala yake utachagua isome IP Adress ya somewhere else, outside Tanzania!!

Kwa wake wapenda vya dezo, mnaweza kutumia Windscribe ambayo unaweza ku-downloand hapa! Kama ungependa kuwa na Premium VPN, ningeshauri ExpressVPN lakini sio mbaya ukitumia muda kidogo kutafuta coupon!
Asante kwa elimu chief.
 
Back
Top Bottom