Tumejiandaaje kuishi bila mtandao (internet)πŸ›œ kuanzia kesho hadi tarehe 3 November, 2025

Hakuna cha maajabu mdau, kama tunaweza ishi bila maji wiki 3 au 4 sembuse internet?!
Wahangaike, wafanye Kila wapendalo kubaki madarakani, wadanganyika tuta persevere..
 
Tutakuwa gizani huku tukilishwa habari za upande mmoja tu wenye nguvu, tena na media zilizoamua kuwaacha solemba wananchi wanaodai haki zao zilizopuuzwa.
 
Hakuna cha maajabu mdau, kama tunaweza ishi bila maji wiki 3 au 4 sembuse internet?!
Wahangaike, wafanye Kila wapendalo kubaki madarakani, wadanganyika tuta persevere..
Uko sahihi mkuu
 
Naamini tukiamua CCM itaondoka. Inabidi tukubaliane kuwa kuna watao kufa.
Wataokufa wapewe majina ya mitaa walipokua wanaishi.
Wapewe majina ya shule zenye majina ya viongozi wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…