Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Wale mabalozi walioteuliwa na Kapilimba wao wameshaapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daktari pia ni mwanadamu kama wewe na mimi na anaweza kusahau na anahitaji kushauriwa .....Ratiba ya Rais ni ngumu sana ...kumbuka kwa wiki mbili nzima alikuwa nyanda za juu na anasimama karibu kila mahali ....kuhutubia zaidi ya mikutano kumi midogo midogo na angalau mmoja mkubwa ambao anaongea hadi masaa mawili ......Bado huyo huyo aunganishe Kusini kwa ratiba hiyo hiyo ngumu ....HE IS A HUMAN being lazima atapata uchovu na hakuna kosa KUWAAMBIA MADAKTARI WA RAIS na handlers wake wadhibiti vema ratiba zake ikiwemo pia kupunguza mikutano ya kando ya barabara kama ile ya Lindi ...kwanza mikutano ya promptu haiwi secured ipasavyo ...kuna risk za kawaida ambazo zinaweza kuzuiwa kitaalamu na zingine zinahitaji maombi yetu kuzizuiaKwahiyo wale professional doctors aliokuwa nao hawana akili ila wewe ndio unataka kuwa mshauri wa madaktari wake...
Si dhambi kupishana mawazo... Kwa walichokifanya wajati huu ndio kupishana mawazo kwenyewe? Mti anazusha na kufurahia Rais amekufa ndio wakumpa uongozi? Huoni akili za huyo mtu kuwa hazipo sawa?Na tujiulize pia kuwa Cdm wasipopata uongozi wowote Je Tanzania itakuwa paradiso ?! Je ni Chadema walioikwamisha Tz kufikia umasikini kiasi hiki ?!.
Bado ninaamini kupishana mawazo si dhambi.
Suala la kudhani halipo, fuatilia uje na majibu sahihiCdhani kama wote walioamini uzushi huo ni CHADEMA,labda kama una chuki binafisi na CHADEMA mkuu.
Cdhani kama wote walioamini uzushi huo ni CHADEMA,labda kama una chuki binafisi na CHADEMA mkuu.
Wao ndio wameeneza huu uvumi kwa kasi wakawazoa wale wasiofikiria ya kuambiwa.. chanzo ni waoMkuu;
Sidhani kama ni CHADEMA wote. Tusiwahukumu CHADEMA wote.
Mfiaukweli, kukosa kumbukumbu ndiyo sifa kuu ya wanafiki, waongo na wazushi.Paragraph yako ya pili kutoka mwisho ni ya muhimu sana. Juu ya hilo binafsi nimejifunza kuwa kutunza Kumbukumbu na kufuatilia mpangilio wa mambo halisi ni equally important.
Mm nimejifunza kwamba wapinzani wa Tanzania ni wapumbavu tu...
Na kwa hatua hii hakuna mbadala wa CCM
NLISIKIA CHADEMA imekufa, HAO NI CHADEMA WAPI?Mkuu;
Sidhani kama ni CHADEMA wote. Tusiwahukumu CHADEMA wote.
asitukane watu na kudhalilisha kisa tu amezungukwa na walinzi.Baba pole sana kwa majukumu mazito ya kuliongoza Taifa hili, na pole sana kwa Uvushi na uvumi kuhusu Uhai na afya yako.
Mtego huu umewanasa wapinzani, wanaccm na wasio na vyama na umeacha funzo kubwa sana kwetu kama Taifa .
Mimi mwana team yako nakuomba tu uwasamehe wote maana hawakujua walitendalo
Pia nakuomba uwasamehe na usilipize kisasi maana Biblia Takatifu inatamka 'Kisasi ni cha Bwana' Warumi 12:19.
Ingawa Kuna maamuzi utafanya katika nafasi Fulani Fulani, lakini tenda kwa utulivu mkubwa tena pale inapobidi.
Kwingineko unaweza kupotezea ili wajifunze zaidi na kubadilika.
Nakuombea afya njema na nguvu, usikatishwe Tamaa na haya yaliyotokea.
Mtego huu, umekudhihirishia marafiki wa kweli na wanafiki hivyo usiutumie kuadhibu Bali kuboresha na kuimarisha palipo nyufa. Mwenyezi Mungu akubariki sana
Mkuu,nimeangalia video ya uapishaji mara 4,na kusema ukweli kabisa,ulichokiandika ndicho nami nimekiona kwenye nyuso za waalikwa.Hivi msipende kuangalia juu juu mambo ya msingi.
Uvumi huu ulikuwa na baraka zote za Ikulu kwa maana hata baadhi ya viongozi wa juu ndani ya serikali hawakuwa na uhakika mzee yupo au hayupo? Mgonjwa sana au kidogo?
Na kama unataka kujiuliza zaidi nini kipo kwa viongozi wa juu ndani ya serikali na viongozi wa vyombo vya dola tazama tena kwa makini sana video ya shughuli ya kuapishwa Leo kwa hatua utagundua jambo moja LA hatari sana katika nyuso zao, WALITEGEMEA UVUMI HUU KUWA KWELI.
Sio rahisi kukubali lakini huo ndio ukweli, na ni ukweli wa kutisha sana. Kuna kukubalika mdomoni lakini sio moyoni na tusidanganyike tabia zibadilike.
Kwa kuwa hawana mkole hata soni zimekosekana kwenye nyuso zao!Uzushi wa kushtusha kuhusiana na hali ya afya ya Mheshimiwa Rais umechefua watu wengi sana. Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba baada ya kuamini na kukurupuka kama kawaida yao, baadhi ya wasiompenda wamejiacha wazi mno kiasi kwamba hata waliowahi kuonekana wana hekima upuuzi wao umejianika wazi.
1. Utashangiliaje taarifa mbaya dhidi ya rais wa nchi yako?
2. Unawezaje kutaka kiongozi wa nchi yako aonekane mbaya jumla na kupuuza mema mengi anayofanya na kusimamia?
3. Kama ni mbaya kiasi hicho huyo aliye mzuri na kufaa kwa kila jambo ni yupi?
4. Kama huwezi kutofautisha chuki zako binafsi na wema halisi wa kiongozi wa nchi yako hekima yako ipo wapi?
5. Kama ni muhimu sana kushangilia mabaya kwa rais wa nchi yako, kwa nini walau usithibitishe kwanza?
Mh. Mkapa hakukosea sana alipotuita baadhi yetu wapumbavu na malofa wakubwa.
Hivi hata kama kuna mahala amekukosea kweli unawezaje kufurahia mambo kama mali za taifa lako kushikiliwa na mabeberu huko nje?
Asante Mzee Mkapa kwa kauli hii.
ubaguzi mbaya sana chuki zinaanza pale wapinzani wanaponyanyaswa assume wewe ungekuwepo mpinzani usingeombea mabaya tujifunze kuthamini utu Lisu kupigwa lisasi wewe na genge lako mlikuwa mnafanya nini?Kwa kuwa hawana mkole hata soni zimekosekana kwenye nyuso zao!
Huo ndio ukweli kabisa ila kuna mihemuko ya kutaka kuliona jambo hili kwa upande mmojaMkuu,nimeangalia video ya uapishaji mara 4,na kusema ukweli kabisa,ulichokiandika ndicho nami nimekiona kwenye nyuso za waalikwa.
Mimi nilimtext mzee wangu mmoja ambaye ni "kigogo wa serikali" na kumuuliza juu ya Mh. JPM,alichoniambia ni kuwa hata yeye hana taarifa sahihi na rasmi kwa 100℅.
Naamini itakuwa ni "inner circle" tu ambao walikuwa wanajua nini kimetokea na nini kinaendelea.
asitukane watu na kudhalilisha kisa tu amezungukwa na walinzi.
wale gambosh waliokuwa wanamlinda ki-gambosh huko kanda ya ziwa kusini wamekalishwa.
Akiumwa na moyo apumzike, na tutangaziwe kama kikwete.
Pia alisema lowassa atafia ikulu, na akapiga pushap kuonyesha yuko fiti na lowassa ni mgonjwa, sasa Mungi anataka kujitwalia utukufu