Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Kwahiyo wale professional doctors aliokuwa nao hawana akili ila wewe ndio unataka kuwa mshauri wa madaktari wake...
Daktari pia ni mwanadamu kama wewe na mimi na anaweza kusahau na anahitaji kushauriwa .....Ratiba ya Rais ni ngumu sana ...kumbuka kwa wiki mbili nzima alikuwa nyanda za juu na anasimama karibu kila mahali ....kuhutubia zaidi ya mikutano kumi midogo midogo na angalau mmoja mkubwa ambao anaongea hadi masaa mawili ......Bado huyo huyo aunganishe Kusini kwa ratiba hiyo hiyo ngumu ....HE IS A HUMAN being lazima atapata uchovu na hakuna kosa KUWAAMBIA MADAKTARI WA RAIS na handlers wake wadhibiti vema ratiba zake ikiwemo pia kupunguza mikutano ya kando ya barabara kama ile ya Lindi ...kwanza mikutano ya promptu haiwi secured ipasavyo ...kuna risk za kawaida ambazo zinaweza kuzuiwa kitaalamu na zingine zinahitaji maombi yetu kuzizuia
Ushauri wa nia njema kama huu sidhani kama unahitaji kubishana .........kwanza hii mikutano midogo midogo inaweza kurahisishwa kwa kuwahimiza wote waje kwenye mkutano mkubwa mmoja au hata miwili ....sana sana anaweza tu kupunguza mwendo kupungia na kupita ...
 
Na tujiulize pia kuwa Cdm wasipopata uongozi wowote Je Tanzania itakuwa paradiso ?! Je ni Chadema walioikwamisha Tz kufikia umasikini kiasi hiki ?!.

Bado ninaamini kupishana mawazo si dhambi.
Si dhambi kupishana mawazo... Kwa walichokifanya wajati huu ndio kupishana mawazo kwenyewe? Mti anazusha na kufurahia Rais amekufa ndio wakumpa uongozi? Huoni akili za huyo mtu kuwa hazipo sawa?
 
Nimejifunza kwamba kuna watu wengi wana chuki nyingi moyoni na wanafurahi wanaposikia tatizo limetokea. Sio afya kwa taifa. Kusema tu ni wapinzani wanahusika bila kuondoa visababishi vya chuki hizo hakutalisaidia taifa letu
 
Cdhani kama wote walioamini uzushi huo ni CHADEMA,labda kama una chuki binafisi na CHADEMA mkuu.

Ccm wengi ndio maadui wa Rais Kwa sababu wao ndio wameumia zaidi kwa mirija yao kukatwa na ndio wenye access ya kukutana naye mara kwa mara
Ndugu zangu CCM wanafiki sana Mh awe nao Makini
Hawa wapinzani kikubwa wanachoweza kufanya ni kupiga kelele tu ...
 
Paragraph yako ya pili kutoka mwisho ni ya muhimu sana. Juu ya hilo binafsi nimejifunza kuwa kutunza Kumbukumbu na kufuatilia mpangilio wa mambo halisi ni equally important.
Mfiaukweli, kukosa kumbukumbu ndiyo sifa kuu ya wanafiki, waongo na wazushi.
 
Mm nimejifunza kwamba wapinzani wa Tanzania ni wapumbavu tu...

Na kwa hatua hii hakuna mbadala wa CCM

WAPINZANI HAO NI.

1. MTATIRO
2. LIPUMBA
3. MREMA LYATONGA
4.ANNA MGHWIRA
5.MOLEL WA SIHA
6. KALANGA WA MONDULI.
7. JULIANA SHONZA.
8. MWITA WAITARA
Takwimu zilizotolewa na gazeti la Mtanzania zinaonyesha tangu mwaka 2016 hadi 2018 idadi ya madiwani wa Chadema waliojiunga CCM imefikia 129 huku CUF ikifikia tisa.

Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania Jumapili, Kitengo cha Habari cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kimeeleza kuwa katika uchaguzi mdogo ujao utakaofanyika Septemba 16, unaojumlisha kata 23 Tanzania Bara, Chadema kina kata 15 za madiwani waliojiuzulu, akiwamo Diwani wa Monduli Mjini ambaye pia alikuwa ni Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Isack Joseph maarufu kwa jina la Kadogoo.

Hata hivyo, taarifa hiyo haikuwa na idadi ya madiwani waliojiuzulu na kusababisha uchaguzi mdogo uliofanyika Agosti 12, mwaka huu ukijumlisha kata 36 kutoka kata 77 zilizotangazwa awali baada ya madiwani 41 kupita bila kupingwa.

Akizungumza na Mtanzania Jumapili, Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Vicent Mashinji, alisema katika uchaguzi huo, idadi ya madiwani wao waliojiuzulu na kujiunga CCM walikuwa 54.

Kwa upande wa CUF, Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi (kambi ya Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad), Mbarala Maharagande, aliliambia Mtanzania hadi sasa idadi ya madiwani wao waliohama imefikia tisa.

Jumamosi gazeti moja la kila siku liliandika kuwa juzi pekee kulikuwa na madiwani saba kutoka kata za mkoani Pwani waliohamia CCM wakitokea vyama vya upinzani.

Gazeti hilo liliwataja majina na kata zao katika mabano kuwa ni Ally Mbwana (Ikwiriri), Abdul Omari (Kisiju), Sultan Waziri (Njia nne), Issa Salum (Magindu), Shabashaba (Ruvu), Hassan Mohamed na Hamis Mbonde.

Pia idadi aliyoitaja Maharagande inamjumuisha aliyekuwa Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana, aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiwalani, aliyejiuzulu juzi na kuomba kupokewa CCM.

Kafana alipishana siku kadhaa na aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia alikuwa Diwani wa Kata ya Vingunguti (CUF), Omary Kumbilamoto, aliyehamia CCM mwezi Julai, limeripoti Mtanzania.

Limesema kuwa sababu za madiwani hao kujiondoa Chadema hazitofautiani kwa sababu wamekuwa wakitoa hoja kuwa wanahamia CCM kuunga mkono utendaji kazi wa Rais Dk. John Magufuli.
 
Uzushi wa kushtusha kuhusiana na hali ya afya ya Mheshimiwa Rais umechefua watu wengi sana. Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba baada ya kuamini na kukurupuka kama kawaida yao, baadhi ya wasiompenda wamejiacha wazi mno kiasi kwamba hata waliowahi kuonekana wana hekima upuuzi wao umejianika wazi.

1. Utashangiliaje taarifa mbaya dhidi ya rais wa nchi yako?

2. Unawezaje kutaka kiongozi wa nchi yako aonekane mbaya jumla na kupuuza mema mengi anayofanya na kusimamia?

3. Kama ni mbaya kiasi hicho huyo aliye mzuri na kufaa kwa kila jambo ni yupi?

4. Kama huwezi kutofautisha chuki zako binafsi na wema halisi wa kiongozi wa nchi yako hekima yako ipo wapi?

5. Kama ni muhimu sana kushangilia mabaya kwa rais wa nchi yako, kwa nini walau usithibitishe kwanza?

Mh. Mkapa hakukosea sana alipotuita baadhi yetu wapumbavu na malofa wakubwa.

Hivi hata kama kuna mahala amekukosea kweli unawezaje kufurahia mambo kama mali za taifa lako kushikiliwa na mabeberu huko nje?

Asante Mzee Mkapa kwa kauli hii.
 
Attachments

  • VID-20191021-WA0008.mp4
    565.6 KB
Baba pole sana kwa majukumu mazito ya kuliongoza Taifa hili, na pole sana kwa Uvushi na uvumi kuhusu Uhai na afya yako.
Mtego huu umewanasa wapinzani, wanaccm na wasio na vyama na umeacha funzo kubwa sana kwetu kama Taifa .
Mimi mwana team yako nakuomba tu uwasamehe wote maana hawakujua walitendalo
Pia nakuomba uwasamehe na usilipize kisasi maana Biblia Takatifu inatamka 'Kisasi ni cha Bwana' Warumi 12:19.
Ingawa Kuna maamuzi utafanya katika nafasi Fulani Fulani, lakini tenda kwa utulivu mkubwa tena pale inapobidi.
Kwingineko unaweza kupotezea ili wajifunze zaidi na kubadilika.
Nakuombea afya njema na nguvu, usikatishwe Tamaa na haya yaliyotokea.
Mtego huu, umekudhihirishia marafiki wa kweli na wanafiki hivyo usiutumie kuadhibu Bali kuboresha na kuimarisha palipo nyufa. Mwenyezi Mungu akubariki sana
asitukane watu na kudhalilisha kisa tu amezungukwa na walinzi.
wale gambosh waliokuwa wanamlinda ki-gambosh huko kanda ya ziwa kusini wamekalishwa.
Akiumwa na moyo apumzike, na tutangaziwe kama kikwete.
Pia alisema lowassa atafia ikulu, na akapiga pushap kuonyesha yuko fiti na lowassa ni mgonjwa, sasa Mungi anataka kujitwalia utukufu
 
Hivi msipende kuangalia juu juu mambo ya msingi.
Uvumi huu ulikuwa na baraka zote za Ikulu kwa maana hata baadhi ya viongozi wa juu ndani ya serikali hawakuwa na uhakika mzee yupo au hayupo? Mgonjwa sana au kidogo?
Na kama unataka kujiuliza zaidi nini kipo kwa viongozi wa juu ndani ya serikali na viongozi wa vyombo vya dola tazama tena kwa makini sana video ya shughuli ya kuapishwa Leo kwa hatua utagundua jambo moja LA hatari sana katika nyuso zao, WALITEGEMEA UVUMI HUU KUWA KWELI.
Sio rahisi kukubali lakini huo ndio ukweli, na ni ukweli wa kutisha sana. Kuna kukubalika mdomoni lakini sio moyoni na tusidanganyike tabia zibadilike.
Mkuu,nimeangalia video ya uapishaji mara 4,na kusema ukweli kabisa,ulichokiandika ndicho nami nimekiona kwenye nyuso za waalikwa.
Mimi nilimtext mzee wangu mmoja ambaye ni "kigogo wa serikali" na kumuuliza juu ya Mh. JPM,alichoniambia ni kuwa hata yeye hana taarifa sahihi na rasmi kwa 100℅.
Naamini itakuwa ni "inner circle" tu ambao walikuwa wanajua nini kimetokea na nini kinaendelea.
 
Uzushi wa kushtusha kuhusiana na hali ya afya ya Mheshimiwa Rais umechefua watu wengi sana. Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba baada ya kuamini na kukurupuka kama kawaida yao, baadhi ya wasiompenda wamejiacha wazi mno kiasi kwamba hata waliowahi kuonekana wana hekima upuuzi wao umejianika wazi.
1. Utashangiliaje taarifa mbaya dhidi ya rais wa nchi yako?
2. Unawezaje kutaka kiongozi wa nchi yako aonekane mbaya jumla na kupuuza mema mengi anayofanya na kusimamia?
3. Kama ni mbaya kiasi hicho huyo aliye mzuri na kufaa kwa kila jambo ni yupi?
4. Kama huwezi kutofautisha chuki zako binafsi na wema halisi wa kiongozi wa nchi yako hekima yako ipo wapi?
5. Kama ni muhimu sana kushangilia mabaya kwa rais wa nchi yako, kwa nini walau usithibitishe kwanza?
Mh. Mkapa hakukosea sana alipotuita baadhi yetu wapumbavu na malofa wakubwa.
Hivi hata kama kuna mahala amekukosea kweli unawezaje kufurahia mambo kama mali za taifa lako kushikiliwa na mabeberu huko nje?
Asante Mzee Mkapa kwa kauli hii.
Kwa kuwa hawana mkole hata soni zimekosekana kwenye nyuso zao!
 
Kwa kuwa hawana mkole hata soni zimekosekana kwenye nyuso zao!
ubaguzi mbaya sana chuki zinaanza pale wapinzani wanaponyanyaswa assume wewe ungekuwepo mpinzani usingeombea mabaya tujifunze kuthamini utu Lisu kupigwa lisasi wewe na genge lako mlikuwa mnafanya nini?
 
Mkuu,nimeangalia video ya uapishaji mara 4,na kusema ukweli kabisa,ulichokiandika ndicho nami nimekiona kwenye nyuso za waalikwa.
Mimi nilimtext mzee wangu mmoja ambaye ni "kigogo wa serikali" na kumuuliza juu ya Mh. JPM,alichoniambia ni kuwa hata yeye hana taarifa sahihi na rasmi kwa 100℅.
Naamini itakuwa ni "inner circle" tu ambao walikuwa wanajua nini kimetokea na nini kinaendelea.
Huo ndio ukweli kabisa ila kuna mihemuko ya kutaka kuliona jambo hili kwa upande mmoja
 
Kwaio ni lazima kiongozi fulani wa nchi apendwe na kila mtu na atakiwe jema na kila mtu sababu tu ni kiongozi? Wakati hata Yesu ingawa alikuja kuukomboa ulimwengu lakini alichukiwa na anachukiwa na watu hadi leo..inabidi ifike mahali kila mtu awe hurukumpenda au kutokumpenda mtu au kiongozi fulani huwezi jua huyo unayempenda wewe amewaumiza wasiompenda kwa kiasi gani..upendi na kumtakia mtu mema hua hakulazimishwi
 
asitukane watu na kudhalilisha kisa tu amezungukwa na walinzi.
wale gambosh waliokuwa wanamlinda ki-gambosh huko kanda ya ziwa kusini wamekalishwa.
Akiumwa na moyo apumzike, na tutangaziwe kama kikwete.
Pia alisema lowassa atafia ikulu, na akapiga pushap kuonyesha yuko fiti na lowassa ni mgonjwa, sasa Mungi anataka kujitwalia utukufu

Watu wa Kusini bwana , wanapenda sana Ligi za ki-Gambosh; wakati ule wa mgogoro wa Gas Haitoki , hicho kibibi walichokuwa wanakiamini hakijai hata mkononi ....ila mkwara wake sasa , magari yenye askari yalikuwa yanaanguka kwenye tambarare kimaajabu , kweli haya mambo ya kienyeji huwa yapo ....nadhani kile kibibi ni descendants wa "kinjeketile' yule mganda maarufu jemedari wa vita aliyeaminisha wapiganaji kuwa risasi zitakuwa maji wakawasumbua sana Wajerumani ...kwenye ile RESISTANCE ya kusini enzi hizo ....ile vita ilimalizikia Songea na Mjerumani aliwanyonga wale machifu wote .
Hawa wazee huwa wanatakaga tu recognition ..yaani mfano kabla ya mtu kufika kwenye anga zao afike mjumbe ajitambulishe na kuwapa hata sukari tu basi .....
Mzee kakutana nao sana kwenye kazi za barabara na huwa anahadisia visa vyao
 
Back
Top Bottom