Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Waliofurahia huo uzushi ni Wa vyama vyote Mkuu.kusema wapinzani ni kuficha tatizo.inasadikika wako mawaziri, wabunge Na wakuu Wa mikoa walianza kushangilia kimyakimya Na kuulizana kama makamu anafaa kwa nafasi hiyo badala ya kumuombea.hoja ya waliozusha kukamatwa siungi mkono sana, maana wako viongozi Wa upinzani wamezushiwa vingi Na wahusika wanaachwa tu...lugola uwaziri Wa mambo ya ndani umemshinda kiujumla.
 
Na huu ni ukweli usio na shaka....Kama tuliyoaminishwa na kina Zitto,Kigogo na wengineo ingekuwa ni kweli ni ukweli usiopingika Nchii ingeingia machafukoni maana wale wote walionyesha chuki ya wazi wazi Kwa Mheshimiwa Raisi sijui kama wangekuwa salama hii ingewahusisha Zitto,Membe na genge lake màana wanachi walio wengi wenye mapenzi ya dhati na Mheshimiwa Rais wangelichukulia hili tukio kama la kutengenezwa hivyo lazima wangeamua kulipiza kisasi mwisho wa siku nchi hii isingekalika
 
Acheni kukuza mambo. Namshauri huyo Waziri awapuuzilie mbali nyinyi mnaoukuza huo ujinga na huyo Musiba wenu. Kunyamaza nako ni busara pia.
 

Hilo la viongozi wa upinzani kuonewa liko wazi na ni kilio chetu cha muda mrefu, kwamba rais wa sasa anatumia madaraka yake kuwakomoa na kuwatesa wapinzani wake. Naona unakiri hilo sasa, sio kwamba unasimamia haki, bali ni baada ya kuona hakufurahia uvumi wa kipenzi chako. Narudia tena, hapa unampaka mafuta Mbowe kwa mgongo wa chupa kisa hakuwa mmoja ya waliofurahia huo uvumi. Ila huna lolote la maana unaloona kwa Mbowe zaidi ya hilo.
 
Tena wewe ndio.mnafiki mkubwa, huyo aliyezomewa, kuchekwa na kidhihakiwa akiwa anaumwa ndio chanzo na injinia wa maovu yote haya Bado anayo fursa ya kubadilika hivi Viongozi wa afrika lazima.watawale kwa mkono wa chuma?? Kwanino hawajifunzi mambo mema kwa viongozi wengine waliofnikiwa kama Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Italia, Na kwingineko??

Ukweli ni kuwa Watanzania tulivumilia sana tukadharauliwa sana sasa hapo tulipofika haturudi nyuma. Ni kazi sana. Watanzania hatuna bunduki wala Bomu lakini Macho, masikio, midomo na vifaa vya kuposti tunavyo.

Kifupi tu awe alikuwa anaumwa au la hii kwake ni Adhabu kubwa.
 
Kauli zile za kumuombea mabaya Rais hazikuwa nzuri kabisa. Lakini twende mbele na kurudi nyuma, huyu bwana ameleta maumivu makubwa kwa watu wengi sana kuliko wenzake wote waliokaa miaka kumi kumi na hata yule wa miaka ishirini na NNE.
Sasa mlitegemea kwenye kundi la wenye maumivu makubwa mioyoni ukileta uvumi watu wata kaa chini na kuangua kilio? Hapana, watazungusha round ya kinywaji huku wakijipongeza kimya kimya.
Ila la ajabu ni kuwa kuna kundi la wasaidizi wake walikuwa wanatumiana SMS ambazo kuwezi kuamini zimeandikwa na wao! Kwa nini hata hao?
 
Mkuu, ebu fanya kuscreenshot popote na yeyote alie andika neno KIFO CHA RAIS
 
Wao wenuewe ndio wameanzisha hizo kitu
 
Kweli hili la watumishi wa umma inabidi alipe uzito unaostahili. Wanalalamika kutopanda madaraka ya kiutumishi, kutopata increments zitokanazo na OPRAS, kutopewa posho za uhamisho hasa kwa waalimu. Na kubwa kuliko yote kukaripiwa na wanasiasa wakiwa kazini.
 
Yani uvunjike moyo kwa mtu asiyekupa chakula!!!?what the hell!?

Kwani hatakufa huyo mtu wenu?

Acha fikra finyu.The niga is not a God,he is going to die one day,any day.

Acheni kumpa u-Mungu.
 
Mpaka sasa hivi hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kuhusu afya ya JPM kuwa alikuwa anaumwa! Huu uvumi uliletwa na kigogo2014 na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Rais wetu ni mzima wa Afya na tunamuomba Mungu aendelelee kumlinda.
Kweli hakuna taarifa rasmi lakini kuna kizazi cha mawaziri ambao hufanya kazi kupitia Twitter kama HKigwangalla, HBashe, UMwalimu wametnibitisha kupitia akaunti zao kuwa JPM alikuwa anaumwa ila sasa amepona. Wanasema Chuma kimerudi!!
 
Mkuu tumia akili kidogo ulizo nazo . hata huko CCM kuna watu hawamkubali huyo rais ushaidi upo. Si unakumbuka zile clips hapa juzi kati ?
 
He Who Digieth tha Pit shali fall in it himself
 
Niliposema wapinzani sikumaanisha CHADEMA, ACT WAZALENDO, TLP nk. Nilimaanisha watu wenye mtizamo tofauti na anachokisimamia Mh. Rais.

Martin Luther King na Yohane Kalvini, waliasisi uprotestant kutokana na tapo toka Roman katoliki ijapokua wote wanatumia Bibilia na wote wakimuamini Yesu kuwa BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAO.

Yawezekana una degree(s) lakini ikawa ya medicine, engeneering, geology nk, hivyo ufahamu wako katika lugha ya kiswahili ukawa finyu na hii haitamaanisha kwamba wewe si msomi au huna akili.
 
uko sahihi sana Mr mkongwe we nimzoefu kweli.

jamaa ameumiza wengi na ashukuru kwamba hakufa, yaani hata wale tulikaa kimya tisubiri kwanza akidanja tufanye sherehe kabisa.
 
upinzani wapo tayari hata kumwaga damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…