Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio muumini wa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Mbowe ameshakaa zaidi ya miaka 10, huu ni wakati wake sasa kumpisha mwanacdm mwingine. Ni kweli nafahamu mchangu wa Mbowe kwa cdm, lakini wakati ukuta. Kama wewe umefaidika na Mbowe kwenye hili, mimi siangalii maslahi binafsi, bali naiangalia cdm kama taasisi, na uongozi wa taasisi ni kupokezana. Msimamo wangu huu uko wazi wala haubadilishwi na tukio lolote.
Zitto hafai ni mnafiki wa kisiasa.
Alishabikia sana jana,huku akipost na mshumaa.
Umekosa hoja unaishia kuonyesha uduanzi wako hapa. Baada ya kuzusha kifo hao uliowataja wamerudi? Kwa kauli yako inaonekana una ushahidi jinsi walivyopotezwa na serikali weka hadharani basiBen Saanane, Azory Gwanda na wengio ni Serikali ya Chama gani nani imewapoteza wewe ndezi?
Tuonyeshe ya kwako ilivyokuwaTindu Lisu hana upendo wowote, angekua na upendo asingetoa message iliyoambatana na mpasho
Huwezi ukapendwa na wote na wala huwezi kuchukiwa na wote jee pigeni tasmi ni watanzania wangapi wamechukizwa na huu utawala wa awamu ya tanoMimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!
Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.
Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 2.4 kutoka laki 300000.
Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii hata isiyoamini kwa haraka (skeptical).
Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia ya kitendo iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini na kuushadadia wameonekana ni wajinga au wapumbavu.
Kitu kingine nilichojifunza ni kuwa viongozi wetu wa vyama vikuu vya upinzani nchini hawajui kinachoendelea Ikulu. Hii imekuja baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji, Godbless Lema na Lazaro Nyalandu wakiamini na kuushadadia uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu! Lazaro Nyalandu na Dkt Mashinji wanatoa mpaka ujumbe wa kuliombea Taifa huku wakiambatanisha mishumaa!
Haya ni maendeleo makubwa kwa taasisi/watu waliopewa dhamana ya kumlinda Rais na siri za Ikulu.
Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.
Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.
Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!
Ufupi wa akili yako ni pale unapofikiri kila anaye muombea mabaya Rais Maghufuli ni mpinzani na siyo CCM . hebu nikuulize swali , zile clips zilizo wahusisha makambas , kinana , nape nk hao nao ni chadema ? Tumieni kidogo basi hizo akili zenu . anaweza hata akawa ni m CCM mwenzenu alozusha huo uzushiKatika mambo ambayo upinzani wanajivua heshima ni pamoja na kushadadia upuuzi ambao unageuka kua aibu na fedheha kwao.
1. MPUUZI mmoja alisema Tanzania itafulisiwa kwa kuzuia makinikia. Karibuni tumeshuhudia kampuni mpya ambayo Tanzania itapata share 16%
2. Bombadia ikakamatwa wakachonga sana kwamba na bado. Tukapeleka wanasheria makini tukashinda kesi ndege ikaachiwa.
3. Wametuzulia taharuki takribani siku tatu kua Rais Ni mgonjwa na kapelekwa Ujerumani, Jana Mubashara tumemuona akiwaapisha wateule.
SASA
Nyie mnaochonga unapomuona Kobe kainama jua anatunga sheria. Na dawa yenu ikishachemka mtainywa tena kwenye mustin (vikombe vya bati) tena ikiwa ya moto.
KUNA WAKATI NAJIULIZA
Hivi mlikua mnafurahia yale yaliyokua yakitendeka serikalini kabla ya awamu ya Tano (angalizo najua bado hajaisha lakini afueni ni kubwa sana)
Labda nitaje machache
1. Familia kufanya sherehe mtoto akipata kazi TRA
2. Magogo/nguzo za TANESCO kukatwa Tanga kupelekwa Mombasa Kisha kuonekana ni imported.
3. Kufungulia maji kwenye mabwawa ya kuzaliasha umeme ili kina kipungue watu wauze majenereta.
4. Magari ya mafuta kupewa vibali vya transit yakaenda hadi tunduma na kurudi kimara kupakua mafuta yasiyolipiwa kodi hata sh 1.
5. Viongozi wa uma kulipana posho kwenye vikao vya brainstorm ndani ya ofisi.
Hivi Rais Magufuli kawakosea nini hasa? Ni kwa kua kaamua kusimamia raslimali za Taifa hili?
Tuambieni kosa lake? Mnasema kaminya democrasia, Ni kweli lakini tujiulize wakati Kikwete alivyoiruhusu hiyo mikutano ya siasa mlifanya nini? Mlipita nchi nzima kumnadi Lowassa kuwa fisadi kisha mkamkaribisha na kumpa nafasi ya kugombea uraisi.
Aliwapa Uhuru wa mnayoiita democrasia mkamtukana, mkamwita majina mkawazomea wanaccm waliopita na nguo za kijani mitaani, je lile ndilo lilikua jibu la yaliyokua yakiendelea serikalini?
Nawaza kwa sauti naishia kusema Kiongozi bora hawaulizi wananchi awafanyie nini? Bali hufanya lile ambalo Ni sahihi kwa jamii yake kwakua naye ni sehemu ya jamii hiyo.
Nilicho jifunza wasiomtakia mema Raisi ni wachache lakini wenye njia mbadala za kuwadanganya wengi ili ionekane kama Tausi anachukiwa na wengi.Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!
Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.
Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 2.4 kutoka laki 300000.
Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii hata isiyoamini kwa haraka (skeptical).
Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia ya kitendo iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini na kuushadadia wameonekana ni wajinga au wapumbavu.
Kitu kingine nilichojifunza ni kuwa viongozi wetu wa vyama vikuu vya upinzani nchini hawajui kinachoendelea Ikulu. Hii imekuja baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji, Godbless Lema na Lazaro Nyalandu wakiamini na kuushadadia uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu! Lazaro Nyalandu na Dkt Mashinji wanatoa mpaka ujumbe wa kuliombea Taifa huku wakiambatanisha mishumaa!
Haya ni maendeleo makubwa kwa taasisi/watu waliopewa dhamana ya kumlinda Rais na siri za Ikulu.
Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.
Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.
Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!
Na bado haachi anazidi kuharibu umoja wa nchi,amekuwa mbaguzi wa waziwazi yaani raia asiye mwana ccm hana haki ndani ya nchi hiiTanzania haipo kawaida Kama zamani, Magufuli kafanikiwa kutenga watu na kutengeneza chuki kubwa miongoni mwao
Tundu Lissu je?!, hata kuvaa fulana tu iliyoandikwa "Pray for Lissu" ilikuwa jinai kubwa ya kupigwa virungu na mabomu ya machozi,. was that right?!Nimpongeze Tundu Lisu, amekaa kimya na hata alipotaka kusema alitamka maneno ya kuomba heri ya Mhe.Rais. Kwamba ameandika kutoka moyoni au la ni Siri yake na Mwenyenzi Mungu.
Niwaombe Watanzania tusivae ukatili mkubwa kiasi hiki, kiongoz anapohisiwa kupata tatizo Taifa linakaa kimya na kumwombea mazuri ila nimeshangazwa kuona mtaani hata wale wanaccm tuliotegemea wamwombee afya njema walibadilika na kuanza kujadili Kama Makamu anafaa au la. Sisemi wanaccm wote bali nasema na wale waliofurahia uvumi uliokuwa unaendelea.
Mawazi na wakuu wa Mikoa, mmeonyesha wazi kwamba upo unafiki ndani yenu na hapendwi mtu inapendwa ajira...mlikuwa na Uhuru wa kupost na kutoa tweet za faraja lakini mlikaa kimya na baadhi yenu mliwaza zaidi kuhusu next prezdaa kuliko kufuatilia afya ya aliyepo. Baada ya kutambua kwamba chuma kipo imara mkaondoka kabisa kwenye imani zenu za dini na kuanza kutengeneza posts za matusi na video zisizo na stahaa mkiamini kuwa maradhi na kifo vinaletwa na Binadamu. Kumbukeni na kaeni mkijua siku zote mtu apatwapo na matatizo au mpendwa wako anapopakaziwa kuwa na matatizo ukabaini huu buheri wa afya ni dhambi kuwashambulia wanaopakaza, yakupasa kumtukuza Mungu.
TBC, ninyi Ni chombo Cha Taifa na kinapaswa kusimama Kama chombo Cha Taifa achaneni na siasa na kujiendesha kishabiki...nyimbo ya Gozbeth haikupaswa kupigwa kwa wakati mliopiga...vipindi vyenu kwa siku tatu havikupaswa kupangiliwa mlivyovipangilia....tambueni wajibu wenu.
Kwa watawala, napenda kuwaomba mjifunze kitu kwenye tukio hili. HAKI IMEONDOKA, UHURU UMEONDOKA,USAWA UMEONDOKA, UBINAFSI UMETAWALA, CHUKI IMETAWALA. TAIFA LETU HALIPASWI KUSHANGILIA MABAYA YAWAPATAYO KIONGOZI WAO, TUJITAFAKARI MAANA IPO SIKU TUTASAIDIANA KWENYE SHIDA KUTOKANA NA VYAMA VYETU.
ADUI WA TANZANIA APASWI KUWA WATANZANIA BALI WATANZANIA WANAPASWA KUWA WALINZI WA TANZANIA.
Devide and concur, my son.Tanzania haipo kawaida Kama zamani, Magufuli kafanikiwa kutenga watu na kutengeneza chuki kubwa miongoni mwao
hapo umepotoka, binadamu hapaswi kushangilia mabaya ya binadamu mwenzao, sio kiongozi tu.., ila kwa kiongozi anapoona kuna baadhi ya watu wanashangilia inabidi kujiuliza, je wanafanya hivyo kwa chuki binafsi au kuna kitu anachofanya kinawa-marginalize.., kumbuka kiongozi inabidi kuongoza wote wanaokupenda na wasiokupenda.Kwa watawala, napenda kuwaomba mjifunze kitu kwenye tukio hili. HAKI IMEONDOKA, UHURU UMEONDOKA,USAWA UMEONDOKA, UBINAFSI UMETAWALA, CHUKI IMETAWALA. TAIFA LETU HALIPASWI KUSHANGILIA MABAYA YAWAPATAYO KIONGOZI WAO, TUJITAFAKARI MAANA IPO SIKU TUTASAIDIANA KWENYE SHIDA KUTOKANA NA VYAMA VYETU.
ADUI WA TANZANIA APASWI KUWA WATANZANIA BALI WATANZANIA WANAPASWA KUWA WALINZI WA TANZANIA.