ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Faraja ya nini wakati mfarijiwa kazushiwa? Mimi sioni sababu ya Kujipendekeza kumpa pole mtu ambaye ni mzima utaonekana kichaa.Watu watume post za faraja wakati kurugenzi ya habari haijatoa taarifa yoyote kwamba Rais ni mgonjwa...?
Watu wanatumaje post za faraja wakati jambo limefanywa siri...?
Kama Serkaki imeamua kuwa SIRIKALI basi tujielekeze kwenye hoja za kitaifa mfano Kabudi kaibuka na kituko ila wachangiaji ni wachache.
Tanzagiza kwanza.