Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Watu watume post za faraja wakati kurugenzi ya habari haijatoa taarifa yoyote kwamba Rais ni mgonjwa...?

Watu wanatumaje post za faraja wakati jambo limefanywa siri...?
Faraja ya nini wakati mfarijiwa kazushiwa? Mimi sioni sababu ya Kujipendekeza kumpa pole mtu ambaye ni mzima utaonekana kichaa.
Kama Serkaki imeamua kuwa SIRIKALI basi tujielekeze kwenye hoja za kitaifa mfano Kabudi kaibuka na kituko ila wachangiaji ni wachache.
Tanzagiza kwanza.
 
Nimejifunza kwamba watanzania hawapaswi kuiamini MINYUMBU na wasije wakathubutu kuwapa ridhaa ya kuwaongoza kwani order zitatoka Berlin Ujerumani kwa mashoga wenzao
 
Ni kweli Ikulu sasa hivi wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kudhibiti uvujaji wa siri tofauti na kipindi cha nyuma! Hii imemdhoofisha sana Zitto kisiasa na kumfanya haonekane kituko!!
Unamaana walimpa wrong information kwa makusudi ili waweke mtego kwa akina Kigogo and company Ltd?
 
Watu watume post za faraja wakati kurugenzi ya habari haijatoa taarifa yoyote kwamba Rais ni mgonjwa...?

Watu wanatumaje post za faraja wakati jambo limefanywa siri...?
Mtoa hoja ya mwanzo hapa kaghafilika.

Kaandika kwa hisia zaidi ya mantiki.

Hili la kuwataka watu watoe pole wakati Ikulu inaficha ugonjwa ni la kwenda na hisia zaidi kuliko mantiki.

Kutoa pole kwa mgonjwa asiyetaka ugonjwa wake ujulikane ni kumuumbua hadharani na kumtoa faragha zake anazotaka zibakie faragha.

Tuwe tunafikiri kwa mantiki kidogo kuepusha kuandika kwa hisia tu.
 
Tanzania haipo kawaida Kama zamani, Magufuli kafanikiwa kutenga watu na kutengeneza chuki kubwa miongoni mwao
Chuki ilikuwepo na itaendelea kuwepo hata aje nani as long as chadema wapo! Chadema hawajawahi kuishiwa chuki
Angalia hapa comments zao baada ya kikwete kuanguka 2010, soma mstari kwa mstari
 
vileunavyo waongoza watu ndivyo watakavyo kuchikulia unapopatwa na matatizo ukiwagawa hats ungana wakati wamatatizo ukiwaunganisha awata jigawa wakati was matatizo
 
Chuma hichoo! Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukusimamia rais wetu mpendwa Dkt @MagufuliJP . Tunakupenda na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu kila lililo jema rais wetu. Ummy Mwalimu, MP on Twitter
 
Unamaana walimpa wrong information kwa makusudi ili waweke mtego kwa akina Kigogo and company Ltd?
Kuna mtu kahamua kuanzisha uongo labda kwa chuki zake binafsi au kutafuta attention. Na wengi wakaeneza kwa kuamini ni ukweli.
Ingekuwa kipindi cha nyuma, mtu kama Zitto angeweza kujua ni story ya kupikwa na angeipotezea. Kuna watu walikuwa wanawapa information za ndani!
 
Afya na uhai hutoka kwa Mungu. Hakuna anayeweza kujitapa kwa kuwa na afya njema au kuwa hai, sawa kama ilivyo, mtu hawezi kubezwa au kudharauliwa kwa kukosa afya njema au kwa kufariki.

Tumwombe Mungu atujalie afya njema ya mwili na roho lakini pia atujalie hekima ya kutambua tunayopaswa kufanya kwa wakati mfupi aliotuweka Duniani.
 
Mtoa hoja ya mwanzo hapa kaghafilika.

Kaandika kwa hisia zaidi ya mantiki.

Hili la kuwataka watu watoe pole wakati Ikulu inaficha ugonjwa ni la kwenda na hisia zaidi kuliko mantiki.

Kutoa pole kwa mgonjwa asiyetaka ugonjwa wake ujulikane ni kumuumbua hadharani na kumtoa faragha zake anazotaka zibakie faragha.

Tuwe tunafikiri kwa mantiki kidogo kuepusha kuandika kwa hisia tu.

Uko sahihi kabisa mkuu...! Ingependeza kama wananchi wangepewa taarifa kuwa Rais wao ni mgonjwa, halafu sasa kama watu wangenyamaza kuwa hawakutuma post za faraja hapo ingefaa kulaumu.

Lakini mtu akurupuke tu aanze kusema Rais wetu upone haraka tunakuombea uwe na afya njema wakati hakuna taarifa rasmi ya kuwa anaumwa, mtu unaweza ukaonekana mwehu kwa kweli.
 
Kwa upande wangu nimejifunza,Taifa LIMEGAWANYIKA,SIYO WAMOJA TENA.
Wazee wetu WAKUU,mh.Mwinyi,mh.Mkapa,mh. Kikwete wakishirikiana na wazee wengine kama Mangula,Msekwa,Warioba,na wazee kutoka vyama vya upinzani na viongozi wa dini wanaweza kulisulu hili Taifa.Acheni hizo siasa zenu UCHWARA,TAIFA LIMEGAWANYIKA.
Kutungwa uongo kunasaidia taifa au kunalipumbaza taifa.
 
FATMA ni whistleblower, hahitaji wafuasi.
Ni k
Sasa mtu unakuwa mfuasi wa Lema, Zitto au Fatuma Karume hivi unakuwa na akili kweli?

Yani hao ndio tunaowat3gemea kuwa mbadala wa ccm, sasa wao badala ya wawe field kutafiti watalifanyia nini taifa baada ya kuitoa ccm madarakani eti wako busy kwenye account ya kigogo kulishwa umbea.

Kama yule Fatuma nmemdharau sana eti anasema ingekuwaje kama si kigogo.

Na nyie mifuasi yake mnashangilia kama mazuzu.
ama kusema mtu ni mfuasi wa MANGE KIMAMBI AU SARUNGI, kama hujui uliza, si dhambi?

Kwani lazma hawa wawe mbadala wetu sisi CCM?
CHEYO , LIPUMBA wanatosha, si lamza CHADEMA
 
Back
Top Bottom