Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Wakati mwingine Mods muwe mnafuta nyuzi za kipuuzi, uhuru wa maoni usio na mipaka ni uvunjifu wa sheria, Si kila mtu lazima aanzishe thread, kama huna misamiati mizuri kichwani mwako aheri ukae kimya usome post za wenzio....
Kifo ni kifo tu hakuna msamiati mwingine hata ipindishe vipi vyote humanisha kifo tu.

Kifo kizuri kwa TL kwa JPM kibaya??
 
Kuna Mama mmoja hana hata smartphone lakini alikua anamueleza mwenzake uvumi huo huku anasikitika kwa kuwa namkubali sana Rais, sikuchangia chochote
Mkuu dunia wanaoishi hao jamaa zetu wanaijua wenyewe...
Zingatia: hao ni watoka usiku...
 
Tafsri yaki ni kwamba kweli wanamchukia no vile tu hawana pakusemea.
 
Mkuu mbona wakati wa uvumi.ulipoteana sababu ni nini?? Je unampenda au baada ya yeye kufuduka ndio uerudi tena kwa mahaba??
CCM ni mayuda, wakati wa.matatizo mlikimbia nyote.
Mkuu labda hukuona tu post yangu, ila nilikoment kuwa Rais yupo imara kabisa na hana tatizo lolote. sikuona haja ya kuendelea kukoment uzushi.

Fuatilia huu uzi,

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Page ya 46, Post No. 910 utaona koment yangu.
 
Hivi unajua asilimia Karibu 90 ya watanzania walikua hawajua chochote?huo uzushi ulienea mitandaoni Tu tena zaidi ya Twitter na jamii forum?
Kwenye WhatsApp huo ulienea kama moto wa majani makavu. Hizo tweet za kihogozilikuwa zinasambazwa magroup kibao
 

Yeah
 
Waliokuwa wanahangaika na huo uzushi ndo hao wamerudi tena kivingine. Hizi tathimini zenu za social media ni sawa na wale Motivation speakers,subilini kwenye sanduku la kura mjue kama watz wanampenda Magufuli ama la otherwise ni mbwembwe zenu na hekaya za kila siku
 
Nadhani ni wakati sasa kwa Rais kuufanya huo Urais wake kama Taasisi badala ya One Man Show. Kwa namna alivyozungumza jana, kama alizungumza vile kwa sababu alikuwa mgonjwa, basi ni bora akabaki mgonjwa milele.

Alikuwa tofauti kabisa na siku za nyuma.
 
Mitandao hii yenye watu wenye user zaidi ya kumi?
Mmoja wapo ni Mimi.
We shenzi kweli
 
Wakati mwingine Mods muwe mnafuta nyuzi za kipuuzi, uhuru wa maoni usio na mipaka ni uvunjifu wa sheria, Si kila mtu lazima aanzishe thread, kama huna misamiati mizuri kichwani mwako aheri ukae kimya usome post za wenzio....
Kipi hujakielewa kwenye bandiko hili, wapi pana ukakasi huu ni mtizamo wangu binafsi na hata wewe waweza kuwa na mtizamo wako na si lazima mitizamo yetu ifanane katika hili. USIPUNIC
 

Sasa kama hata kujiandikisha watu wameajindikisha wachache, tena baada ya vitisho na kubembelezwa ndio kwenye kura utegemee idadi ya maana? Kwa idadi ya kupika atapata kura za mpaka ambao hawajafikia umri wa kupiga kura. Unaweza kulazimisha kila kitu lakini sio kupendwa.
 
Sanduku la kura halijawahi kusema ukweli wakati wowote, Nina rafiki yangu mtendaji wa mtaa ameandikisha vitabu halali vitatu Cha ajabu baada ya kuwasilisha kwa mtendaji kata amerudishiwa vitabu vitano (viwili vya ziada na majina asiyoyajua) na maagizo kuwa anatakiwa abandike majina yote hayo akianza na majina feki na baada majina halisi! Je uchaguzi mkuu utakueje Kama wa local gvt umejaa udanganyifu wote huo?
 
Mitandao hii yenye watu wenye user zaidi ya kumi?
Mmoja wapo ni Mimi.
We shenzi kweli
Nyie ndo wapuuzi mliokosa akili ulivyo mpuuzi unajitapa eti una akaunti 10. For what kama siyo utapeli. Kuwa na account nyingi JF, twitter IG ama FB inakuonyesha namna gani huna kazi za kufanya na ndiyo ile praise team ya Lumumba. Na si ajabu kuwa na mawazo hafifu..
 
Ujue watanzania sijui tupojetukiambiwa kitu huwa hatufanyi utafiti hatuhakikishi kwamba taarifa ni ya kwel au sio kwel ila ni wepesi sana kusambazwa uvumi
 
Kaka ni Watanzania wangapi wanapitia mitandaoni hadi ukaamini au ukatuaminisha kuwa kinachosema na wahuni wachache waliotengenezwa ndio fikra za Watanzania wengi,hizo ni propaganda za wahuni wanaotumia mitandao kuichafua serikali na wewe ukiwa ni mmoja wapo,unajifanya unatoa machozi ya mamba hapa kumbe ni walewale.Tanzania tupo zaidi ya milioni 45 na robo tatu hawana hata na habari kinachoitwa mitandao ya kijamii.
 
Huyu jamaa ni jeuri na ana roho mbaya. Hawezi badilika hata siku 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…