Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Kaua tembo kwa ubua, wapo watu wameshikwa pabaya.Na kadiri habari ilivyoenea ikawa rahisi kuwabaini key players,na wengine kwa ujinga wakajiongeza ili wasikoze kuteuliwa kwenye serikali hewa waliobuni au kutafuta misifa.Kwanza nimejifunza sasa tumepata Mkurugenzi makini ndani ya TISS,
Alijaribu kuwapa taarifa tofauti tofauti maafisa ndani ya idara ili aweze kugundua ni wapi wanavujisha siri za serikali kwa wakina Kigogo.
Kuna watu wanaenda kupata adhabu kali ndani ya idara.
Tukumbushe tena wewe ni Dr. nani vile?Kiukweli tuache utani rais bdo hajawa katika hali yake ya kawaida.tumuombee watanzania...
Chuma ni mgonjwa
Aliongea kigonjwa sana ile siku anaapisha kitu ambacho si kawaida yake
Kwanza angekua mzima angejibu mapigo mpenda sifa yule
Wale 900 wa gamboshi kama walishindwa zuia upepo wa kisurisuri nini faida yao si bure kabisaWale wazee walitoka Gamboshi na akina cyprian Musiba adui mkubwa wa membe wakaona njia bora ya kumchonganisha membe na magufuli ni kupiga uchawi kwenye anga za Ruangwa ili magufuli akasirike amkomoe membe na cyprian Musiba apate kuikwepa kesi yake iliyomlemea ingawa Bashite kajitoa mhanga kuigharamia mpaka mwisho kwa siri kubwa
Wale wanatafutiwa nchi, huyu aliyeapishwa haendi nje ya nchi bali amepewa cheo cha ubalozi ili aweze kuongea na mabalozi akiwa balozi katika kumsaidia Mh Rais. Nilimsikia Mh akidokeza hivyoWale mabalozi walioteuliwa na Kapilimba wao wameshaapa?
Ah ah mlitarajia haseme nini?? Hamjui kuwa apo ndo kwenye shithole aka bomba aka mrija unaompa salali???Natamani baba atoke akamalizie ziara yake mikoani Lindi na Mtwara, kinyume na Hapo uvumi na maneno vitaibuka upya, please!
Binafsi namwombea afya njema, aishi aone maoni ya Watu Juu yake Kama Mtu Binafsi lakini zaidi sana Kama Kiongozi wa Taifa, Amen!
View attachment 1240625
Mganga wa jadi kutoka sumbawanga,, nguvu za kiume, utajiri, kujiunga freemason, heart attack na tezi dume nione mkuuTZ kuna waganga wa kienyeji wengi sana
Uko vizuriMimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!
Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.
Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 2.4 kutoka laki 300000.
Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii hata isiyoamini kwa haraka (skeptical).
Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia ya kitendo iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini na kuushadadia wameonekana ni wajinga au wapumbavu.
Kitu kingine nilichojifunza ni kuwa viongozi wetu wa vyama vikuu vya upinzani nchini hawajui kinachoendelea Ikulu. Hii imekuja baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji, Godbless Lema na Lazaro Nyalandu wakiamini na kuushadadia uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu! Lazaro Nyalandu na Dkt Mashinji wanatoa mpaka ujumbe wa kuliombea Taifa huku wakiambatanisha mishumaa!
Haya ni maendeleo makubwa kwa taasisi/watu waliopewa dhamana ya kumlinda Rais na siri za Ikulu.
Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.
Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.
Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!
Mganga wa jadi kutoka sumbawanga,, nguvu za kiume, utajiri, kujiunga freemason, heart attack na tezi dume nione mkuu
Msimpeleke Ujerumani
Wewe ni mpu..vu.
Ummy amenikumbusha Sophia Simba!Natamani baba atoke akamalizie ziara yake mikoani Lindi na Mtwara, kinyume na Hapo uvumi na maneno vitaibuka upya, please!
Binafsi namwombea afya njema, aishi aone maoni ya Watu Juu yake Kama Mtu Binafsi lakini zaidi sana Kama Kiongozi wa Taifa, Amen!
View attachment 1240625
Chuma ni mgonjwa
Aliongea kigonjwa sana ile siku anaapisha kitu ambacho si kawaida yake
Kwanza angekua mzima angejibu mapigo mpenda sifa yule
Haahaa ukitaka kuchezea shaba Fanya huo ujinga.mzigo Wa wakubwa huo nduguAmeolewa huyu Ummy?. Please pleasr ndg zangu mnipe info nataka kufunga safari kuja Dar mapema wiki ijayo.
SASA hivi anatembea ni lile dubwasha la Mkojo sijui linaitwa KASETAChuma ni mgonjwa
Aliongea kigonjwa sana ile siku anaapisha kitu ambacho si kawaida yake
Kwanza angekua mzima angejibu mapigo mpenda sifa yule