bulicheka 3
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 599
- 557
Wewe PUMBAVU acha kashfaSASA hivi anatembea ni lile dubwasha la Mkojo sijui linaitwa KASETA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe PUMBAVU acha kashfaSASA hivi anatembea ni lile dubwasha la Mkojo sijui linaitwa KASETA
Lisu ni mwakilishi wa wananchi, au unataka kila mwananchi apigwe risasi ndiyo utaelewa? Watu wengine mnashangaza sanaHo
Kila kitu Lissu,[emoji57][emoji57][emoji57] huyo lisu bwana ako? Au kakutelekeza na mimba? Tanzania Ni zaidi ya unavyoifikiria!
unalazimisha maoni yako kwenye kichwa changu.
Sijakili kuwa ameonewa but am showing a possibility ya kuonewa kama ipo.
Kuna wapinzani sio walopokaji... Sugu ana lugha ya kitaa ila smart. Prof J. Mbowe... Sio kwa hili tu ila ni wanasiasa smart.
Sina ushahidi wa nani anakomolewa ila ukivunia sheria utapapaswa na serikali.
Kuugua ni kawaida mwanadamu yeyote, na pia kufa ni kawaida kwa mwanadamu yeyote akiwemo yeye,kama alivyosababisha wengine wakafa sio jambo la ajabu nae akiwafuata huko akina Akwilinadaah sijaamini yani kuna wananchi walifurah sana raisi wa nchi kuumwa yani kuna wengi sana wasiompenda Jamaa aisee
Hiyo Tanzania ni pamoja na LissuHo
Kila kitu Lissu,😏😏😏 huyo lisu bwana ako? Au kakutelekeza na mimba? Tanzania Ni zaidi ya unavyoifikiria!
Na wewe unaye ijua katiba una fanya nini? Ina maana wewe nawe huswagwi kama huyo ng'ombe wa mnadani? Mbona sote tuko kwenye meli moja?
Kwa jinsi unavyo jipa jipa ina onyesha dhahiri kuwa wewe ni masikini mkubwa sana wa akili. Huna unacho kifanya katika maisha yako zaidi ya kuburuzwa na fictive stories za kwenye social Media?
Huna wajibu mwingine wa kulijenga taifa lako? Angalia usije ukapoteza mda wako wa thamani kwa wenzako walio navyo!
Fatima Karume na Maria Sarungu wenzako wazazi wao walikwisha wawekea misingi ya maisha! Mwenzangu vipi nawe upo kwenye kundi hilo?
Katika uchaguzi wowote ule. Hata kama watu watatu tu watajitokeza huyo mmoja wao atakaye chaguliwa na hao wawili ameshinda. Wale wasio jihusisha itakuwa ime kula kwao. That is the principle. Humkomoi mtu unajikomoa mwenyewe kwa ujinga wako.
Tumia nafasi yako kumchagua mtu unaye ona anafaa.
that was attempt againts him , time will tell na inasikitisha sana kuwa kuna watu wanataka ku cover up.....tunataka wananchi waambiwe nini kilitokea pale ????Weka sawa kwanza,
je, hapakutokea sintofahamu yoyote kule Rwangwa?
Ile video inayoonesha watu wakisukumwa na wanausalama wa rais ni ya kweli au ya uongo?
Well said kiongozi!👍🏽that was attempt againts him , time will tell na inasikitisha sana kuwa kuna watu wanataka ku cover up.....tunataka wananchi waambiwe nini kilitokea pale ????
nani walihusika , hata kama ni uchawi tujuwe ..... to what is going on Kigogo had an hint tatizo lake ni kuwa amekuza sana mambo na kumtakia mkuu wetu mabaya lakini haiondoi ukweli kuwa something fishy was happening against our leader ...
Ni unafiki mkubwa kuhubiri kuwa maadui wa mkubwa ni wapinzani wakati "kikulacho kiko nguoni mwako '
mpinzani gani alikuwa na access ya kulipua tear [chemical attack] ndani ya gari ya mkubwa ....Tusidanganyane hapa ......watu wanajifanya ccm kumbe wauwaji wakubwa !!!
Mbona CCM wengi ndiyo walifurahia kuliko wapinzani na bado mnakiamini CCM kuendelea kuongoza nchi?Zitto ana roho ya kishetani
Zitto ni Kiongozi ni mbunge anashabikia kifo cha kiongozi wa Nchi
Na bado kuna watu wanamwamini ati anaipigania nchini?
N
Kwenye video, kuna sauti ambazo nadhani ni za wanausalama, wakisema kitu kuhusu “Fire extinguisher”. Ina maana hawakuwa na uhakika wa chanzo cha huo moshi.
Mkuu;
Huyu ni kiongozi mkuu wa nchi yenye wananchi zaidi ya milioni 55. Hakuna ubushi kuwa katika wananchi hao lazima kuna wengine atawakwaza tu. Kuombewa kifo haina maana anachokifanya ni makosa? Mbona hata mitume kwenye vitabu vya dini ambao walikuwa humble lakini waliombewa kifo wengine wakauwawa?
Ndio maana Marais wanapewa walinzi wenye siraha kwa sababu wanajua kuna watu wanapenda wauwawe.
Kwangu hoja eti ni ajabu kuona Rais anaombewa kifo inanishangaza sana kwa sababu sio kitu cha ajabu kutokana na nature ya kazi zake.
Ajimwambafy akiwa ziarani mkoa mwingine. Akiwa Lindi atawajibishwaBinadamu mwepesi wa kusahau, atajimwambafai siku zikisonga mbele
Kwani upinzani ni chadema tu kwanini mnapuuzia vyama vingine kama NLD na NCCR Mageuzi wamo lakini hawavumiiiiiii!Chadema hawapaswi hata kupata mbunge mmoja! Subiri tu,
CCM hawampendi magufuli kuliko wapinzaniKwani ni lazima ww ukiri ndio iwe kweli wanaonewa? Hao waropokaji wako upinzani tu? Je waropokaji walioko ccm wao huwa wanachukuliwa hatua gani? Au sheria ni kwa ajili ya wapinzani tu?