Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Hakuna mropokaji aliyechukuliwa hatua.
Hata waliozusha kuwa JPM amefariki hawajaguswa. Real demokrasia.

Ila inadumaza upinzani kwakuwa wananchi wanapoteza trust. Wapinzani tunaonekana wajinga na wenye roho mbaya.
Kwani ni lazima ww ukiri ndio iwe kweli wanaonewa? Hao waropokaji wako upinzani tu? Je waropokaji walioko ccm wao huwa wanachukuliwa hatua gani? Au sheria ni kwa ajili ya wapinzani tu?
 
Hakuna mropokaji aliyechukuliwa hatua.
Hata waliozusha kuwa JPM amefariki hawajaguswa. Real demokrasia.

Ila inadumaza upinzani kwakuwa wananchi wanapoteza trust. Wapinzani tunaonekana wajinga na wenye roho mbaya.

Unachekesha walionunua, hao wananchi hawajui yaliyomkuta Lissu na anayenyooshewa kidole, ndio wapoteze trust na hao wapinzani walioonyesha hisia zao kwenye huo uvumi? Mwenye roho mbaya anafahamika maana hao wananchi sio wajinga wa hivyo, japo wako kimya kwa usalama wao.
 
Punguani wewe! Hao watu wameuawa kwenye awamu gani ya Serikali? Waliomshambulia Lissu mchana kweupe tena katika makazi ya Vigogo, uchunguzi wao umefikia wapi? Wewe unapaswa kuendelea kugombea "remote" na watoto wa dada yako tu, haya mambo huyawezi.
Na bado stupid dog there will be hell to pay wazushi wote subirini... nincompoop
 
Kilichotokea lile eneo ulikiona nihalali moshi kutokea eneo hawajawasha moto
 
Weye uliona ile clip iliyokatwa ikionyesha moshi tu. Uswe unakubali kulishwa tango pori, angalia yote youtube uone kilichoendelea ubaini kilichokusudiwa ukataji wa hiyo clip. Huamini basi amefariki subiri ukamzike😂😂😂
usikimbilie kumzika ingawa kwa wengine aliishazikwa zamani. akitokea tbc wanabadilisha channel. akisikika kwenye radio wanabadili kituo. wakiona picha yake wanatema mate. waliishasoma arobaini yake.
nilikuomba ueleze rais wetu mpendwa alipatwa na nini hizo siku mbili. serekali ilikanusha lini na wapi na nini? kwamba hakufa au akuumwa? tuwekee hilo kanusho na akina tomaso tulione!
 
Kwa uliyoyaandika hata ukionyeshwa ushahidi utatema mate, ukiambiwa alikuwa amejifungia anapanga safu, pamoja na kuona matokeo utapuuza kwako ni kazi ndogo. Watu wanaoshinda kwenye keyboard ukitoka unatoka umechoka na unalala fofo, ndio wenye mdomo wa kudharau mapumziko ya mtu aliyekuwa kazini kwa ziara ndefu ya mikoa mitano bila kupumzika. Toka Songwe, S/wanga, Mpanda, Ilonga-Tabora, Katavi to Dodoma, Lindi to Mtwara. Huwezi kuona sababu kwa kazi anazozifanya zinakutia kichefuchefu😁😁
 
Unagawanyika na nani?
 
Fuckin views!
 
Au ilikuwa ni drill ikilenga kuangalia kiwango cha usiri huko jumba jeupe kwa sasa na kuona mapokeo ya watu kama taarifa ingekuwa ya kweli. Ila kiukweli kupitia mitandao idadi kubwa ya watu walionyesha kufurahia taarifa ya awali. Inasikitisha sana.
Wengi wangapi kwa namba?
 
Ni kweli mkuu
 
Kwaiyo ile habari ilikuwa ni uzushi? kama ndio wakuu ebu naombeni uthibitisho na mm niamini asee maana uku wasiwasi bado ni mkubwa sana
 
 
hata adui yake angeelezwa hayo angesympathize. very tedious. ana washauri na daktari wake. wote wanalipwa kwa kazi hiyo. nilishangaa sana niliposikia daktari wake ni daktari bingwa wa uzazi na magonjwa ya akina mama!yaleyale ya mahiga sheria na kabudi diplomasiauzushi a sio kukosa ushauri. uenda ikawa sishauriki itokanayo na sipangiwi. anayaweza - much know!
all in all ingesemwa. rumourmongers wasingechipuka. walipewa uwanja wa kutosha. that's in case I buy your reason of nonappearance ya rais. membe confirms the devastating effects occasioned by the rumours! nani alaumiwe? victorie, nyani, etal kwao ni sahihi kutokujibu uzushi. logically hii inaruhusu uzushi kutamalaki. which is too bad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…