Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?


Hivi huko Ujerumani alipelekwa lini na karudi lini?

Manake hizi tetesi hazina hata zaidi ya siku 5.

Kwa hiyo ina maana ndani ya siku mbili tatu jamaa kaenda Ujerumani, kafanyiwa upasuaji wa moyo, jana au juzi kafanya teuzi, na leo kawaapisha wateuliwa wake?

Hahahaaa kama yote hayo yametokea ndani ya siku mbili tatu basi namvulia kofia Ngosha...
 
Mm nimejifunza kwamba wapinzani wa Tanzania ni wapumbavu tu...

Na kwa hatua hii hakuna mbadala wa CCM
Siyo wapumbavu tu bali ni hopeless kabisa. Viongozi wa vyama vya upinzani hawajui (hawana namna ya kujua) rais yuko wapi? Sasa wao na sisi huku mitaani kuna tofauti gani? Halafu walivyo wajinga wakaingia kingi ya kushangilia. Wangekuwa wamekaa kimya wala wasingeonekana ni wajinga namna hii
 
Mmmh!what a physician [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Acheni propaganda za linings hapa, kama wananchi hawampendi si tutaona kwenye uchaguzi,
Hizo chaguzi ambazo mnaamua kuwaweka marefa wenu.....

Wewe mwenyewe unajua kuwa wasimamizi wa uchaguzi ni maDED, ambao ni wanaccm kindakindaki......

Waliopigwa mkwara mzito na Jiwe, kuwa ninakupa gari ya kifahari ya kutembelea, nyumba ya kifahari ya kuishi na mshahara mnono, halafu nisikie unamtangaza mpinzani ameshinda!

Ni sawasawa umejifukuzisha kazi!
 
tuacheni utani hata mimi nimezipokea taarifa hizi kwa shangwe moyoni, hata yeye pia anafaham fikra kuna mamilioni ya watu watafurahia juu ya kuuguliwa kwake ndo mana imefanywa siri
 
Akitaka msiba wake uwe sherehe kwa mamilioni ya watanzania, basi na afuate ushauri wako.
 
Kwa ujinga waliouonyesha kwenye mitandao kuhusu taarifa za uzushi za hali/afya Rais ni wazi kuwa Chadema hawastahili hata uenyekiti wa mtaa... Tuendelee kuchapa kazi...
Uzi Tayari

Jovic Jovic
Mkuu;
Sidhani kama ni CHADEMA wote. Tusiwahukumu CHADEMA wote.
 
Kitu ambacho hujajua ni kwamba wanaompenda Magufuli, na wanaomuombea heri walikuwa kimya wakisubiri taarifa rasmi kutoka Ikulu, na ndio maana live streaming ya Ikulu ilijaa comments nyingi za shwangwe na furaha baada ya watu kumuona Rais wetu pendwa. Ila tu ole wao kwa waliovumisha huu uzushi, wanaweza wakadhani watapambana na vyombo vya dola tu, wakasahau kuwa kuna wananchi wengi wenye hasira nao.
 
Chadema ni wajinga flani sijui ni kutoka nchi gani..

Sasa mtu unakuwa mfuasi mfano wa Zitto au Lema au Fatuma Karume ambao na usomi wao wanashikiwa akili na kigogo unategemea utakuwa mtu mwenye akili kweli..

Wewe ndiyo mjinga kwani chadema na zito ndiyo walimsukumia moshi wa kichawi huyo mtukufu wenu? Kwa wapinzani ndiyo waliwambia mfiche habari na kuleta taharuki? Nyie ndiyo wajinga wakubwa kuficha vicha vitu mpaka kusababisha mjadala na wasiwasi kwa Taifa.
 
Ulitaka asimamie mbowe?
 
"Wananchi wengi"??? Majority voted him ndo mana amekuwa rais wa jmt

Majority rule

Sasa hao "wananchi wengi" wasiompenda n kwa rafiti ipi ulyofanya

Au n kwa mujib wa genge la wahuni wa twitter,insta???
 
Reactions: nao
Wapinzani wa Tanzania ni wadudu tu
Sasa kama ni wadudu mnashangaa nini wadudu kifurahi binadamu akifa? Au umesahau kuwa binadamu akioza ni chakula cha wadudu?
Muwe mnatafakari maneno mnayoongea ndiyo hayo hayo yanayosababisha kupotea kwa utu kwa baadhi ya watz. Unamwitaje binadamu kama wewe mdudu halafu huyo huyo utegemee asikitike ukipatwa na jambo baya....!!!!
 
Chadema ni wajinga flani sijui ni kutoka nchi gani..

Sasa mtu unakuwa mfuasi mfano wa Zitto au Lema au Fatuma Karume ambao na usomi wao wanashikiwa akili na kigogo unategemea utakuwa mtu mwenye akili kweli..
Hujajibu swali.

Umejuaje ni CHADEMA na si Watanzania wengine?
 

Kuuliza alipo Rais siyo ujinga na hopeless ni nyie mlioficha taarifa kisha mkaanza kuhaha mitandaoni huku mkuwasingizia uongo wapinzani kuwa wameshangilia wakati CCM wapinzani wa ndani ya CCM hasa watumishi wa umma waathirika wa kukosa nyongeza za mishahara ndiyo wameshangilia Sana, acheni kuwapakazia uzushi wapinzani huko CCM kwenyewe hampendani, kama kweli mnampenda magufuli Mbona hamkwitisha maandamano ya Amani kumuombea?
 
ccm wameshaturoga,hata wafanye upumbavu vipi tutawaunga mkono na wapinzani hata wakifanya jema gani hawawezi toboa hadi hapo watanzania wengi watapopata elimu zaidi ya ile ya kuvukia barabara
 
Mm nimejifunza kwamba wapinzani wa Tanzania ni wapumbavu tu...

Na kwa hatua hii hakuna mbadala wa CCM
Wewe ndiyo unaamini leo? Wengi tulishaamini tangu hotuba ya ufunguzi wa Bunge 2015 ya Magufuli kuwa nchi yaelekea kuangamia. Ni wapumbavu tu wanaoamini vinginevyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…