Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu;
Hakuna sehemu nimesema kuugua ni jambo la ajabu.
Kama hoja ingekuwa kuugua pekee hakuna mtu mwenye akili timamu na fikra pana angeshangaa.
Kilichofanyika ni kuambiwa Rais Magufuli mgonjwa sana na amepelekwa Ujerumani. Leo pia tukaambiwa Rais ameishapoteza maisha na sasa hospitali ya Lugalo wanajiandaa kuupokea mwili wake.
Hivi huko Ujerumani alipelekwa lini na karudi lini?
Manake hizi tetesi hazina hata zaidi ya siku 5.
Kwa hiyo ina maana ndani ya siku mbili tatu jamaa kaenda Ujerumani, kafanyiwa upasuaji wa moyo, jana au juzi kafanya teuzi, na leo kawaapisha wateuliwa wake?
Hahahaaa kama yote hayo yametokea ndani ya siku mbili tatu basi namvulia kofia Ngosha...