Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tarehe 19 na tarehe 20 October 2019 ni siku ambazo wengi wa watanzania hatutakaa tukazisahau maishani mwao.

Tulivunjwa miyoyo,tulikosa matumaini na wengine walitamani kuikimbia nchi aidha kwa kukosa matumaini au kwa kuhofia usalama wao.

Rais anapokuwa amekufa mazingira ya kutatanisha hali hiyo huleta vita ndani ya nchi.Mambo haya yalitokea nchini Rwanda na Burundi ,na nchi nyengine.

Watanzania wengi walikua wanafuatilia ziara ya Rais. Walikuwa wakifurahia sana gafla wanaambiwa na wapinzani eti amekufa tena wapinzani hao wanafurahia kifo hicho.kwa maana nyengine walikuwa wamepanga kifo chicho.

Niseme kuwa Mungu amewatuliza watazania vinginevo yaliyotokea Burundi na Rwanda yangeweza kutokea baada ya kuona watu wanashangilia mabaya juu ya rais.

Wako watu walianzisha au kushangilia mabaya hayo.wanajukikana na wengine wametajwa Leo na Musiba.yako madhara makubwa wamesababisha kutoka na uzushi huo.

Vyombo vya Dora viwasake kote waliko wawekwe ndani mpaka rais atakapotoka madarakani.Hii itakuwa afya kwa taifa letu la Leo na la kesho kwa sababu watu hawa wanavuruga nchi.

Najua wakikamatwa mataifa ya nje yatapiga makelele kama kawaida yao.lakini potelea mbali.kwanza in usalama kwao.

Waziri mwenye dhamana chukua hatua LA sivyo watanzania wengi watawaza mengi juu yako!!
Wakwanza wewe unakwepa kijanja kwa kuwanyooshea vidole wasiojulikana.
 
Kuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.

Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.

Kama Rais akipata wasaa wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, Mimi Rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.

Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.

Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
 
upinzani wapo tayari hata kumwaga damu.
Mkuu mbona wakati wa uvumi.ulipoteana sababu ni nini?? Je unampenda au baada ya yeye kufuduka ndio uerudi tena kwa mahaba??
CCM ni mayuda, wakati wa.matatizo mlikimbia nyote.
 
Chuki ilikuwepo na itaendelea kuwepo hata aje nani as long as chadema wapo! Chadema hawajawahi kuishiwa chuki
Angalia hapa comments zao baada ya kikwete kuanguka 2010, soma mstari kwa mstari
As long as mateso na maauaji kwa wapinzani yalikuwepo chuki haikosi.
 
Kuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.

Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.

Kama rais akipata wasaha wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, mimi rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.

Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.

Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
kwa ule uongeaji wa jana ni dhahiri shahiri kuwa sizonje ameacha kujimwambafy
 
Kama na wewe mwana CCM mwenzangu na unamsikiliza msiba rasmi nakuweka katika group la wale takataka wa level B jengo la Lowassa pale
 
Hivi unajua asilimia Karibu 90 ya watanzania walikua hawajua chochote?huo uzushi ulienea mitandaoni Tu tena zaidi ya Twitter na jamii forum?

Kwa taarifa yako hata katiba ya nchi wanaoijua ni wachache sana wenye uelewa wa mambo, hao wengine wasiojua ni lile kundi linaloswagwa kama ng'ombe wa mnadani.
 
Tuna haki na sisi ya kukuita punguani mpumbavu na lofa.
Kuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.

Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.

Kama rais akipata wasaha wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, mimi rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.

Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.

Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
 
Kama rais akipata wasaha wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, mimi rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.
Wakati mwingine Mods muwe mnafuta nyuzi za kipuuzi, uhuru wa maoni usio na mipaka ni uvunjifu wa sheria, Si kila mtu lazima aanzishe thread, kama huna misamiati mizuri kichwani mwako aheri ukae kimya usome post za wenzio....
 
Kuna Mama mmoja hana hata smartphone lakini alikua anamueleza mwenzake uvumi huo huku anasikitika kwa kuwa namkubali sana Rais, sikuchangia chochote
Ni Sawa labda aliambiwa na mtu mwenye smartphone lakini bado tunarudi pale pale asilimia kubwa Sana hizo siku tatu za uzushi walikua hawajui chochote,kwenye magroup ya whatsup kwenyewe haikuenea kiivyo kila mtu alikua akiogopa kuanza kueneza huo upupu,uku kwenyewe ilienea Sana kwa vile watu hawatumii majina hao halisi kwa ikawa rahisi watu kujiachia
 
Je,nini kimesababisha mpk tufikie hio hali ya Rwanda na Burundi?
 
Back
Top Bottom