Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Bora mm wasiwasi umetawala maana Leo ya 4 sijaona zindua hapa TBC wala pichaKwaiyo ile habari ilikuwa ni uzushi? kama ndio wakuu ebu naombeni uthibitisho na mm niamini asee maana uku wasiwasi bado ni mkubwa sana