Tumejipangaje kama nchi kuliteka soko la USA baada ya mchina kuwekewa tariff?

Tumejipangaje kama nchi kuliteka soko la USA baada ya mchina kuwekewa tariff?

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,413
Reaction score
4,713
Wote ni mashahidi jinsi vita vya tariffs baina ya US na China kwa jinsi ilivyo ni kwamba trade will go into stop. huwezi weka tariffs za 50% na ukategemea biashara iende. so tunaenda kwenye completely halt ya trade.

Ukiangalia US analia un fair play kutoka kwa china na mchina nae anasema hatishwi na hata juz wamepost video ikionesha muasisi wa taifa lao Mao Tse Tung akisema wao hawajali Rais wa Marekani awe nani ila hawatakubali kuonewa.

Sasa huu ndio wakati wetu na inabidi secretary wa Commerce and trade aje na mpango now na wafanyabiashara wetu huu ndio wakat tujaze gap za mchina kule Us. Tupekeke parachich zetu na kahawa pamoja na korosho zetu kwanu sisi hatuna tariff kubwa.
 
Back
Top Bottom