Tumekalishwa kwenye foleni kwa zaidi ya nusu saa kumpisha IGP

Tumekalishwa kwenye foleni kwa zaidi ya nusu saa kumpisha IGP

Haya mambo zamani hayakuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi.

Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu.

Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Wakati wa kikwete hapakuwa na huu ujinga ulianza wakati jiwe mpk makonda alikuwa na msafara[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanaweka zile za kuchanganya, mara nyekundu, mara blue, mara kijani, yaan zinajibadili zenyewee.

Na hasa boda boda.

Mikoani kama Mbeya utasema wanapewa bure, kazi ya polisi ni kukusanya rushwa tu.
 
It's craze mkuu, ndani ya iyovi pass middle of the night, unaona blue lights unafikiria ni police kumbe bloody Fuso limepaki!,guy's Blue lights ni kwa POLICE tu, tuamke watanzania

Nimecheka kichizi. Hii ishu ni Makonda tu, ambaye hata sio jukumu lake, ndo aliwahi kuivalia njuga ila polisi wenyewe ni kama hawaoni na hawajui wajibu wao.

Bajaji za Mbeya nadhani wanapewa hizi taa bure kila bajaji imefunga, usiku mji unakua kama christmas tree.
 
Looo Mbeya bajaji utafikiri wana assembly plant ya bajaji pale!,pls my police take charge here, blue lights ni kwa police tu,sio watumiaji wengine, wale wote walioweka blue lights kwenye vyombo vyao ni makosa na watoe
 
Mkuu hii ishu polisi imewashinda kabisa
 
Bagamoyo road mnaonewa sana, enzi zile za zama za giza, asubuhi ungeweza kukutana na V8 mbili tinted zimewasha hazard hazikai foleni eti zinaenda kumsalimia mzazi (mama mwenye kitoto kichanga)
Wapi huko mkuu? Salasala juu? Yani unaambiwa pale marehemu alikufa balaa. Hadi akampa onyo balozi China asikanyage bongo akae huko huko.
 
Je hapa Mwanza......washenzi wametuweka barabarani tangu saa 7 hadi saa hizi saa 9 eti kusubiri msafara wa Vaisi Prezidenti upite na inawezekana hata hajatoka Dar
 
Haya mambo zamani hayakuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi.

Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu.

Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Anawahi kuchukua hesabu za check point

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom